Mahakama ya mapenzi

Mahakama ya mapenzi

Kingfisher

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2015
Posts
5,140
Reaction score
8,399
Huwa nakaa na kujiuliza hivi mahakama ya mapenzi ingekuwepo ingekuaje? Je, kesi zake zinge outweigh zile za the Hague..maana kila leo utasikia huyu kafanywa hivi na mapenzi na yule kafanywa vile.
Mimi nahisi kwamba mahakama hii ingekuwa na kesi nyingi zaidi kuliko mahakama zote.
 
siwezi kuanika tofauti zetu hapa maana ya ndani yanatuhusu sisi tu mama. nikizidiwa ndo nitayatoa nje kuomba ushauri

Ha haaa
 

Attachments

  • 1437145603419.jpg
    1437145603419.jpg
    35.8 KB · Views: 300
Back
Top Bottom