Natafuta binti kutoka MWANZA kuwa mpenzi tu.

Natafuta binti kutoka MWANZA kuwa mpenzi tu.

Victoria Nile

Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
52
Reaction score
8
Naishi mwanza, elimu yangu ni kidato cha 6, nina miaka 24, ninafanya vibarua vya muda kupata riziki, sina mpenzi kwa sasa ila nahtaji mpenzi mwenye sifa zifuatazo: 1. Asiwe mchoyo wa penzi 2. Asipende sana kuhongwa(iwe kawaida) 3. Awe na elimu kuanzia darasa la saba hadi form six 4.Awe na urefu wa kati au mfupi wa kawaida mweusi au mweupe 5. Awe mkristo tu. 6. Awe tayari tuonane wikiendi hii 7. Asiwe mgomvi wala kicheche. 8. Awe na umri kuanzia miaka 16-24. Tafadhali mwenye sifa hizo aniPM
 
Si lazima awe na kazi yoyote maana 2tashauriana mengi yakiwamo mambo ya kujishughulisha na kazi iletayo kipato
 
Hahahaaaaa! We pwilo wewe! Hata kama kwetu kungekuwa mwanza we hivyo vigezo unaviona viko timamu kweli!!!
jokes vp lakini msaidie mdau hapo juu kama inawezekana hata rafiki yako "
 
Last edited by a moderator:
Huna hela unatafuta mwanamke. Utasugua sana gaga hupati ng'o
 
Ulizia villa park ujichagulie wa kwako ila vaa kondomu tatu
 
Eti kuanzia umri wa miaka 16 ? una ham ya jela wewe ingekua tanga unge pewa kishipa ndugu ili ukome kuharibu watoto wa watu
 
Eti kuanzia umri wa miaka 16 ? una ham ya jela wewe ingekua tanga unge pewa kishipa ndugu ili ukome kuharibu watoto wa watu
teh teh jela gani inafunga mtu kuwa na mahusiano na mtu? Sheria yenyewe hadi miaka 15 kwa msichana inamruhusu kuolewa!
 
Huna hela unatafuta mwanamke. Utasugua sana gaga hupati ng'o

hela sh. Ngapi? Women are like clothes with different prices! Unajichagulia kwa gharama uliyonayo! Eti sipati ng'o! Kwahyo mimi ni bikira eti? Just understand the world!
 
hela sh. Ngapi? Women are like clothes with different prices! Unajichagulia kwa gharama uliyonayo! Eti sipati ng'o! Kwahyo mimi ni bikira eti? Just understand the world!
Mbona umepaniki eeeh hebu chill kwanza utulize mshono kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom