Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,022
Kumekuwa na tabia ya wadada wa siku hizi kuwa Magogo (kushindwa kutumia nyonga zao vzr wawapo vitandani na wawapendao hasa wakati wa yale mambo yetu).
Demu unakuta amelala tu utadhani Samaki alie achwa nchi kavu na mawimbi ya bahari! Daah!Hayo makalio yenu ni mapambo tu barabarani, kule 6×6 ni nyonga basi! Poda weka mbali!
Hili tatizo ni kubwa sana kwa wadada/ wamama wanaotoka familia bora ukilinganisha na wa uswazi.
Unakuta akitembea 2KM barabarani akifika nyumbani lazima ameze Panaldo. Oooh nimechoka baby! Yaani mwili wooote una niuma jameni. Minyama uzembe tu!!
Utakuta demu anafahamu Movie zote za Kiphilipino, Kihindi, kinijeria na kibongo!mMbwembwe kibao. Oooh I love Mr. X. Ooh I Love Kansime's hair style na blah blah kibao!
Nyimbo zote za Jux, Diamond, Alikiba, Linah, Baraka De Prince, nk lakini kupika hafahamu hata kidogo.Haya dawa ya Ugogo ni binti au mwanamke kujifungia chumbani mwako.
Weka CD hasa sebene za Kikongo (Awilo, Pepekale, Arusi mabele, Yondo Sister, nk achana na hawa wa juzi juzi akina Falliii Pupaa). Then kuwa na kioo kikubwa/ kabati ya kioo kikubwa , then anza kucheza huku ukijitizama unavyocheza).
Hakikisha unakuwa na nyimbo za midundo mbalimbali ili uwe unabadilisha style za kuviringa nyonga!
Fanya hivi kwa miezi 3. MziziMkavu msaada wa dozi? Hakika kama mmeo yuko masomoni Ujerumani anaweza kukataa kuwa siyo mkewe anaemfahamu atakapo rejea! Uwe tayari kujitetea asije kukuhisi vingine! Sema ukweli!
Daudi Mchambuzi una picha?
Nahuakika wengine mtaanza hili zoezi rasmi, kimya kimya!