geee kay Senior Member Joined Mar 21, 2015 Posts 112 Reaction score 63 Jul 15, 2015 #1 Naitwa Muta nina umri wa miaka 22 natafuta mchumba. Kwa maelezo zaidi ni pm
T The Evil Genius JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 6,151 Reaction score 20,075 Jul 15, 2015 #2 geee kay said: naitwa Muta nina umri wa miaka 22 natafuta mchumba kwa maelezo zaid nipm Click to expand... Wanaume wengi wa humu wameoa mdogo wangu, au uko tayari kua mke wa pili au mchepuko? kama uko tayari kua mke wa pili nipm
geee kay said: naitwa Muta nina umri wa miaka 22 natafuta mchumba kwa maelezo zaid nipm Click to expand... Wanaume wengi wa humu wameoa mdogo wangu, au uko tayari kua mke wa pili au mchepuko? kama uko tayari kua mke wa pili nipm
gnassingbe JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 4,826 Reaction score 3,584 Jul 15, 2015 #3 Poa. Sasa samahani lakini una nyumba na gari?
Night shadow JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 585 Reaction score 1,112 Jul 15, 2015 #4 gnassingbe said: Poa. Sasa samahani lakini una nyumba na gari? Click to expand... Kama kigezo ni nyumba na gari basi nipm.
gnassingbe said: Poa. Sasa samahani lakini una nyumba na gari? Click to expand... Kama kigezo ni nyumba na gari basi nipm.
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,800 Jul 15, 2015 #5 The Unknown said: Wanaume wengi wa humu wameoa mdogo wangu, au uko tayari kua mke wa pili au mchepuko? kama uko tayari kua mke wa pili nipm Click to expand... Jamaa anaitwa muta ina maana yey n mwanaume au! wew kwan ni me au fe?
The Unknown said: Wanaume wengi wa humu wameoa mdogo wangu, au uko tayari kua mke wa pili au mchepuko? kama uko tayari kua mke wa pili nipm Click to expand... Jamaa anaitwa muta ina maana yey n mwanaume au! wew kwan ni me au fe?
L lisa k Member Joined Jul 17, 2015 Posts 19 Reaction score 2 Jul 18, 2015 #6 mmh, umriwako lakini mbona bado?