vigezo hakuna?
Mr Account, account inasomaje kwani?
Hata kununua fanta tu lazma uwe na hela, kuoa tu harusi lazma uwe na hela, yani ni hela tuKinachooa ni account au ni huyo kijana? Ukihoji account, je ikisoma na kumbe ikawa ni ya Freemason na mlengwa wa kafara ukawa ndo wewe utafanyaje? Naomba tumuelewe kuwa yeye anataka kuoa na si account inayooa.
Hata kununua fanta tu lazma uwe na hela, kuoa tu harusi lazma uwe na hela, yani ni hela tu