Neno la nitakupenda kwenye shida na raha neno jepesi sana ila upande wa pili ni kilio.
Unaposema shida unaipenda means uko radhi kuipokea watoto wengi mashuleni wanateseka kuelewa sababu ya...
Naombeni mawazo yeni wana jamiiforum kuhusu hili.
Hivi inakuwaje mume wa mtu anafuatilia undani wa mke wa mtu. Mfano kuuliza tayri ushapata mimba au akiona nguo za ndani mpaka aulize au aseme...
Na demu wangu mmoja hivi ni msanii mkubwa tu, lakini vimbwanga vyake ni noumah.
Utakuta wakati mwingine nikitaka kumpiga picha mfano ana taulo atataka aache maziwa wazi au kama kajisahau hivi au...
TGIF. Another school through rap music. Dr Dre, i'm sure you already know the name. What's the difference is a track released in 1999 from his Dre 2001 album.First verse is a summary of his...
Wakuu natumaini mko poa napenda kujitokeza kuwapa hali niliyonayo kwa sasa.
Nilitokea kuwa katika mahusiano mwanamke flani maeneo haya ya kwetu baada ya kusafiri kwa muda niliporudi nikakuta...
Habarini wana MMU,hii ni mikasa iliyonipata katika harakati zangu za umalaya wa kutafuta wanawake wa kwenye mitandao,mm ni mdau mkubwa wa JF ila nimekuja kivingine kuficha aibu zangu cos kuna watu...
Napenda sana tabia zake ila tatzo ni mweusi na mimi napenda wanawake weupe.Moyo hautaki kumuacha, nafsi inasita kumuoa nahisi nitakua natamani sana weupe, nipo njia panda coz ni wife material...
Habari wanajamii forum,
Mimi ni mama, mme wangu hawajibiki kwa chochote katika familia. January aliniambia nikope pesa ili mtoto aweze kwenda shule na baadaye atarudisha kwa kusema kuwa mambo...
Jamani mimi mwenzenu napata shida saana kwani bunduki yangu ndogo sina uhakika kama itamtosheleza mwenza wangu.
Nashindwa kushiriki tendo kwa kuhofia kumboa.
Naombeni ushauri wenu.
Mimi ni mwalimu nafanya kazi katika jiji la Mwanza natafuta mchumba ambae yuko tayari kuolewa sasa mimi ni mkristo. awe na umri kuanzia miaka 22 mpka 30. awe na kz au hana haina shida. akitoka ktk...
Mimi ni mtumishi serikalini nipo Mwanza, lonely familia yangu ipo Mbeya natafuta rafiki wa story na kubadilishana mawazo kushare lonely experience.Interested PM
Habari wana JF,
Naomba niulize swali kwa wataalam waliobobea kwenye mahusiano, hivi msichana akikeketwa hisia za mapenzi zinatoweka au inakuwaje? Naomba majibu tafadhali.
Habari zenu wana bodi. Natumai mko salama na mnaendelea na minyukano ya kimaisha.
Story ni ya kweli isome kwa utaratibu afu nijuze nini nifanye.
Miaka 5 iliyopita nilikuwa mjini nikiwa najitegemea...
Ndoa huwa ina Stage 4 bana:
1. MKWARA STAGE
-Mwaka wa Kwanza wa ndoa ulivyo mtamu.Hapa bado wapya ni full kujishaua,kila mahali mko wote,Unawahi kurudi home,Kabla hujapika unaulizahubby...
Hii ni hadithi iliyowahi jitokeza na hata Youtube ipo. Ni ile hali ambayo mwanamke na mwanaume wananasana wakati wa ngono na hasa kama mwanamke ni mke wa mtu. Mchezo huu nasikia ni ufundi wa...