Habar za mihangaiko na michakariko ya pale wanaJF,
Hivi ni kwanini hutokea wapenzi wanapokuwa pamoja wanafanya vitu kama wagonjwa wa akili? Je, ni hisia furaha au mapenzi ndio hufanya kazi ya...
habari zenu wanajamvi...
Ninaimani muwazima wa afya.... dhumuni La kukimbiliaa apa jamvini, kwa mdada ambaye yupo single naomba ani PM maana nahitaji Faraja..
Nimwaka sasa toka niachane...
Naongea na nyie watu, wadada!
Maana, mnavigezo nyie hadi basi, utasikia kama huna mshahara wenye digit 7, mimi hapana.Jamani si nenda kwa yeyote alafu haya mengine yatafuata.
Ukikutana na...
Hii imenitokea wakati fulani alipokuwa mbali, ila kwa sasa yupo. Ila nae huwa anavaa zangu mara kwa mara.
Wala si huyu tu bali hata wa wale wa awali walipenda kuvaa kufuli zangu.
Habari zenu wana JF,
Mimi ni kijana bado kilichonifanya nije kuomba ushauri ni kwamba tangu mdogo nimekuwa nikipitia wakati mgumu sana kwenye mahusiano.
Ukweli ni kwamba sijawahi kutoka...
Ni hivi nimekuwa na mahusiano na mwanaume ambaye tulitengana kwa miaka kumi, na mwanaume wangu wa kwanza nilimpenda sana.
Lakini kuna mambo yalitokea tukatengana akawa na ana watoto wawili...
Wanajamvi naomba mnisaidie hili nimshauri rafiki yangu kwani yupo njia panda.
Rafiki yangu ana elimu yake ni diploma, ni mwajiriwa wa serikali, ana girlfriend mwenye kiwango cha elimu cha...
Habari ya jumapili ndugu zangu,
Namshukuru Mungu mi ni mzima ila naamini hata nyinyi ni wazima na kwa wale walio wagonjwa nawapa pole Mungu awaponye.Naomba ndugu zangu tusaidiane katika hili...
Natumainia ni wazima wa afya,
Kuna wanawake hawa nashindwa sana kuwatofautisha yani unakuta mtu anasema yule mwanamke ni malaya sana na mwingine anasema yule mwanamke ni kahaba.
Sasa nataka...
We all go through ups and downs in our relationships. Sometimes, a little encouragement is all we need to get through the tough times. So weve put together 8 great quotes from Pinterest that will...
Wanawake Wa .Com Wanatia Kinyaa Kwakweli.Mwanamke Hatosheki Hata Umpe Nini Au Umfanyie Nini?.Khaaa!
Kila Unachohitaji Nakupa.Ukiwa Na Shida Niko Radhi Nijinyime Mimi Mahtaji Yangu Lakini...
Amani ya bwana iwe nanyi wadau,
tukiwa tunaelekea katika msimu wa sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya;ni dhahiri shahiri kwamba kila mmoja wetu angependa kumpa/kumpelekea mpenzi wake /mwenza wake...
Mwandella mayo,
Natumaini mko waazima wa afya na mnaendelea na mihangaiko yenu ya kuwapa ugali wa kila siku Nimewamisije akina cousini wangu charminglady Passion Lady sweety lady jamani hebu...
Habari za wana JF.
Naombeni msaada mwenye number ya mdada Recho mwimbaji wa nyimbo za kibongo anitumie au anipe.
Maana kati ya wasanii wa kibongo wa kike nampenda sana huyu dada naombeni...
Habari za wakuu,
Zamani enzi za wazazi wetu wanawake walikuwa wakiona kuwa mwanaume ni kichwa cha familia na kiongozi na walikuwa wakiheshimu waume wao sana kwakuwa waliwasikiliza waume wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.