Mwanaume kuvaa chupi ya mwenza wako imekaaje?

Mwanaume kuvaa chupi ya mwenza wako imekaaje?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Hii imenitokea wakati fulani alipokuwa mbali, ila kwa sasa yupo. Ila nae huwa anavaa zangu mara kwa mara.

Wala si huyu tu bali hata wa wale wa awali walipenda kuvaa kufuli zangu.
 
Mmmh haikuji..ngoja waje wataalam wa kuvaa Thong za wenza wao
 
acheni kupotosha. kuna tofauti ya chupi ya kawaida na hizo bikini
 
boxer nazo ni underwear. kwa kiswahili ni nguo za ndani. kwa usahihi zaidi boxer ni aina ya chupi tu. huwezi sema range rover si gari
 
Mbona midemu nayo siku hizi inavaa boxer ?. Ina maana nikivaa boxer yake itakuwa shida ?
 
hahhahahaaaa..... ntasimamisha siku nzima....duh
 
Mapenzi yakizidi mipaka yanageuka kuwa ujinga.
 
Back
Top Bottom