Natumainia ni wazima wa afya,
Kuna wanawake hawa nashindwa sana kuwatofautisha yani unakuta mtu anasema yule mwanamke ni malaya sana na mwingine anasema yule mwanamke ni kahaba.
Sasa nataka kujua kuwa malaya wakoje na makahaba wakoje?
Msaada please