Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Walimu Mabeki tatu ( house maids / house girls ) Karibuni tuchangie japo mimi bado ni mgeni kwenu humu.
2 Reactions
52 Replies
7K Views
AMENITUMIA MESEJI HII:ndugu mteja kifurushi chako cha kuwa macho kimekwisha.tafadhari panda kitandani uje unikumbatie na nikuunganishie kifurushi cha mahaba na ujipatie bonus ya utamu wa zaidi ya...
0 Reactions
41 Replies
11K Views
Wakuu, Natumaini mko poa mnaendelea vyema na weekend zenu. Nilikorofishana na mwanamke wangu nikajua ni upepo utapita tu ila naona mtu kabadilika ghafla masharti yamekua mengi. Juzi...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Nimekumbwa na jini gani mimi jamani, nipeni ushauri maana, Mimi sio mgeni wa mapenzi bali mapenzi ndo yananitia uchizi, nimeanza kumpenda dada mmoja kitaani kwetu nikiwa na umri wa miaka 11...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habarii wandugu tena wana Jf, Hii imekuwa kama changamoto kulingana na vile upendavyo na unachokutana nacho sicho, mara nyingi nimekutana na wasichana wengi na unakuta ni kweli kabla hamjameet...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Kuna kamchepuko kangu flani ka miaka mingi tu,kamenitembelea gheto,sasa kama mjuavyo hizi nyumba za kisasa ambazo choo na bafu ni ndani kwa ndani,me asubuh hii nilikua kwenye sinki la chooni...
1 Reactions
83 Replies
13K Views
Kwa muda mrefu sasa, nimekua nikisumbuliwa na mambo ya mapenzi hasa kazini, nikaamua nifuate ushauri wenu niachane na mapenzi ya sehemu za kazi, nikafanya hivyo Hapo katikati nikakutana na Dada...
0 Reactions
151 Replies
17K Views
Hongera!!!kwa kutoa funzo jinsi ya kumkojolesha mwanamke kwa style ya squirt.Nimejarbu na kufanikiwa,HONGERA ZKO!!!!!!!!!
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu Habari za Jumapili Hii ni Sehemu Fupi tu ya Simulizi ya Kusisimua na Yenye Mafunzo Mengi Ndani yake iitwayo "NAFSI NIELEWE" Isome kisha utoe Maoni Yako "Kila mmoja...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha. 2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye. 3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji. 4. Achana na starehe zisizo na maana au showoff kwa wadada...
13 Reactions
45 Replies
11K Views
Nina mpenzi wangu nampenda sana bali hana anachojua kitandani,nimejitahidi kumfundisha zaidi ya miaka 2 sasa lkn hamna improvement yeyote ile.Nikimwangalia huwa namtamani sana lkn linapokuja suala...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 25 pia ni mtumishi wa Serikali katika sekta fulani natafuta msichana wa kuishi nae mwenye umri wa kuanzia miaka 18-22 awe tayari kuwa mama wa nyumbani mwaminifu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkopoa Makaka zangu na Madada zangu Natafuta binti wa kuoa au rafiki Awe na elimu kuanzia OLEVEL na kuendelea Awe mweusi asili ya Mwafrika Maana sihitaji mweupe kwa sababu Mimi naishi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi MMU; kuna binti nimempenda sana na hatimaye nimechukua hatua ya kumtokea kwa namna hii; kwanza kabisa ni binti ambae hatufahiani kabisa ila tupo ktk eneo moja la utafutaji hatimaye nikaamua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mvulana mrefu,182cm mwembamba maji ya kunde. Naishi Tabora mjini, nahitaji binti wa KUOA . Elimu, nasoma degree chuo flani. Aliye tayari ani PM.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25... hapo mwanzo nlikuwa na mpenzi wangu bahati mbaya mwaka jana mnamo august tukaachana.. sasa kwa hasira nkaanza tabia ya kutembea na makahaba. siku ya...
0 Reactions
34 Replies
52K Views
HESHIMA PESA, NDEVU HATA MBUZI ANAZO. Sio nia yangu kuponda au kusolola mtu kumdogofisha au kufanya ajiskie mnyonge. Ila haya mambo tusipoyasikia toka kwenye vinywa vya watumishi wa Mungu...
29 Reactions
72 Replies
10K Views
Siku hizi ndoa nyingi zinavunjika lakini chanzo ni wanaume kuendekeza demokrasia na diplomasia kwenye ndoa zao wanaume siku hizi hawana sauti kwenye ndoa zao hali inayofanya mwanamke kutawala na...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimeona sio vibaya tuka share hali ya kimahusiano niliyo nayo kwa sasa maana hapa Jf hukutana watu wenye mitazamo mbalimbali hususani katika suala la maisha kwa ujumla. Weekend iliopita siku ya...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Mengi yatajulikana baadae ila kiufupi tu natafuta mwanamke mwenye maadili. Nitakuwa 50 yrs old December hii but mama atafutwae awe na umri kuanzia 30 hadi hapo kwangu ila ningependelea awe kati ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom