Wanawake mnavuruga ndoa sababu ya kujilinganisha na wanaume

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,273
Reaction score
25,297
Habari za wakuu,

Zamani enzi za wazazi wetu wanawake walikuwa wakiona kuwa mwanaume ni kichwa cha familia na kiongozi na walikuwa wakiheshimu waume wao sana kwakuwa waliwasikiliza waume wao.

Hili lilipelekea wazee wetu kudumu katika ndoa kwakuwa hawakutaka usawa yani kujilinganisha na wanaume.

Kizazi cha sasa baadhi ya wanawake wengi wamekuwa wakitaka usawa wa kuongoza familia yani kujilinganisha na wanaume hawawasikili wanataka wao wasikilizwe tu.

Mfano kuongoza familia, utakuta mwanamke anampelekesha mumewe kwa kila kazi za nyumbani yeye kajikalisha.

Utakuta maelewano ndani ya ndoa hamna kwakuwa yale anayotakiwa kufanya baba mama nae anataka afanye.

Mwananamke usitake kujilinganisha na mwanaume kwa chochote kumbuka Biblia inasema ulitoka kwenye ubavu wa mwanaume.

Nawasihi wanawake heshimuni waume zenu acheni kujilinganisha na wao, mnapaswa kujua kuwa mwanaume ni kichwa cha familia ni kiongozi hivyo aheshimiwe.

NB: Mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe. Pia tujifunze kumtumia MUNGU awe kiongozi wa ndoa zetu.

MUNGU awabariki,Jumapili njema
 
Ndio maana ndoa nyingi hazidumu tatizo ni kwamba wameacha vile Mungu alivyoagiza mwanamke amtii mumewe na awe mnyenyekevu hata kama mwanamke awe na elimu au mali kias gani lazima ieleweke tuu yeye yupo chini ya mwanamume alichotamka Mungu kamwe hakiwez kupingwaa
 
Shetani anawadanganya kwamba wao wana haki sawa na mwanaume!
 
Hivi wasichana wa sampuli hiyo wanapatikana wapi??..mi mbona sina bahati ya kukutana nao
 
wanaume wenyewe ndo wanasababisha hayo yote,zamani wanawake walikuwa wanakaa tu nyumbani analetewa kila kitu yeye ni kulea watoto nyumbani,sasa hivi mwanamke anazaa kwa uchungu na anakula kwa jasho na wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake wenye kipato,ukitaka ukichwa muweke mkeo nyumbani mletee kila kitu .
 
Hahahaaaaa!! Daah hii nayo kali, yaani mume unapelekeshwa kufanya home chores huku mke kajikalia?? Sasa kama umeolewa na hujitambui what do you expect??
 
asante nashukuru Mungu sijapata demu wa hivyo
 
Zamani enzi za wazazi wetu wanawake walikuwa wakiona kuwa mwanaume ni kichwa cha familia na kiongozi na walikuwa wakiheshimu waume wao sana kwakuwa waliwasikiliza waume wao.

usisahau hawa wanaume wa sasa pia hawa behave kama hao wazamani
mwanaume kuwa kichwa cha familia umebaki msemo tu.....
 
wanaume wenyewe ndo wanasababisha hayo yote,zamani wanawake walikuwa wanakaa tu nyumbani analetewa kila kitu yeye ni kulea watoto nyumbani,sasa hivi mwanamke anazaa kwa uchungu na anakula kwa jasho na wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake wenye kipato,ukitaka ukichwa muweke mkeo nyumbani mletee kila kitu .

Nakuunga mkono na mguu dada yangu. Umesema kweli. Chukua tano.
 
usisahau hawa wanaume wa sasa pia hawa behave kama hao wazamani
mwanaume kuwa kichwa cha familia umebaki msemo tu.....

Na ukishasikia mwanaume anajichetua kudai yeye kichwa cha nyumba ujue pana ualakini maana vichwa vya nyumba walaaa hawajinadi, kuwa kichwa cha nyumba sio kugegeda tu ati!!
 
Siku hizi kila mtu ni kichwa kila mtu ni kiwiliwili lol:lol:
 
Haswaaa

Mwanaume ambaye ni kichwa cha nyumba wala hatumii nguvu nyingi...

Matendo yake majukumu yake automatically yanamfanya kuwa kichwa na hatumii nguvu kupata heshima yake....

Lakini wale wanaotumia nguvu kudhihirisha ukichwa wao ukiangalia kwa undani kunakuwa na uwalakini mkubwa...... mwingine anadhani kufoka foka maguvu mengi na kunyoosha miguu ndio kuwa kichwa...

Na ukishasikia mwanaume anajichetua kudai yeye kichwa cha nyumba ujue pana ualakini maana vichwa vya nyumba walaaa hawajinadi, kuwa kichwa cha nyumba sio kugegeda tu ati!!
 
Habari za wakuu,

Zamani enzi za wazazi wetu wanawake walikuwa wakiona kuwa mwanaume ni kichwa cha familia na kiongozi na walikuwa wakiheshimu waume wao sana kwakuwa waliwasikiliza waume wao.

Hili lilipelekea wazee wetu kudumu katika ndoa kwakuwa hawakutaka usawa yani kujilinganisha na wanaume.

Kizazi cha sasa baadhi ya wanawake wengi wamekuwa wakitaka usawa wa kuongoza familia yani kujilinganisha na wanaume hawawasikili wanataka wao wasikilizwe tu.

Mfano kuongoza familia, utakuta mwanamke anampelekesha mumewe kwa kila kazi za nyumbani yeye kajikalisha.

Utakuta maelewano ndani ya ndoa hamna kwakuwa yale anayotakiwa kufanya baba mama nae anataka afanye.

Mwananamke usitake kujilinganisha na mwanaume kwa chochote kumbuka Biblia inasema ulitoka kwenye ubavu wa mwanaume.

Nawasihi wanawake heshimuni waume zenu acheni kujilinganisha na wao, mnapaswa kujua kuwa mwanaume ni kichwa cha familia ni kiongozi hivyo aheshimiwe.

NB: Mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe. Pia tujifunze kumtumia MUNGU awe kiongozi wa ndoa zetu.

MUNGU awabariki,Jumapili njema

Safi sana
 
wanaume wenyewe ndo wanasababisha hayo yote,zamani wanawake walikuwa wanakaa tu nyumbani analetewa kila kitu yeye ni kulea watoto nyumbani, sasa hivi mwanamke anazaa kwa uchungu na anakula kwa jasho na wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake wenye kipato,ukitaka ukichwa muweke mkeo nyumbani mletee kila kitu .

Heheheheee naona umetuvulia ushungi lol.
 
Back
Top Bottom