MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Habar za mihangaiko na michakariko ya pale wanaJF,
Hivi ni kwanini hutokea wapenzi wanapokuwa pamoja wanafanya vitu kama wagonjwa wa akili? Je, ni hisia furaha au mapenzi ndio hufanya kazi ya kuondoa UTASHI wa mtu?
Nawasilisha!