Mrejesho: Nimeshapata mke

Mrejesho: Nimeshapata mke

Miaka 19? Baada ya miaka 6 utakuja tena hapa na uzi mwingne "ushauri mke wangu kabadilika tabia?"
 
Hongera sana jamaa,uvumilivu uliokuwa nao wakati unatafuta endelea kuonyesha hata katika maisha yenu. Wengine bado lakn uvumilivu tunauenzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom