Hili jukwaa ni kwa ajili ya watu wazima tu na hata HII JAMIIFORUM NI kwa watu wanaojielewa pekee ambao HAWAJIELEWI NA AU HAWAJITAMBUI NADHANI KUNA mtandao wao wa kijamii ex facebook n.k,
Pili KAMA UNATAKA ANGALAU UWE UNAANZISHA THREAD NA AU UNACHANGIQ ANGALAU NAWE UNAKOMAA AKILI KIDOGO BASI ACHA MARA MOJA HAINA YA UHANDISHI WAKO NA LUGHA ZA MTAANI ZIISHIE HUKO HUKO.ktk hili jukwaa sana inaandikwa sana na SIO XANA!MANENO YOTE UNAYOYAANDIKA UHANDISHI WAKO LAZIMA YAZINGATIE HAYO KINYUME NA HAPO HUKU HAKUKUFAI.
uhandishi wako 2 unaonyesha ni jinsi gani hujui kuandika hata lugha ya taifa...pili ushauri wangu sipoteze muda kwenye mapenzi ya kijinga kula desa tena kula haswa
nimekuta herufi X badala ya S...nikiri wazi sijaendelea kusoma alichoandika huyo dogo,nafikiri muhimu ni wewe endelea na shule ukishakuwa mkubwa ndio uanze haya mambo.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.