Zawadi nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako

Zawadi nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako

Mr Yes

Senior Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
153
Reaction score
29
Amani ya bwana iwe nanyi wadau,

tukiwa tunaelekea katika msimu wa sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya;ni dhahiri shahiri kwamba kila mmoja wetu angependa kumpa/kumpelekea mpenzi wake /mwenza wake zawadi nzuri sana itakayomfurahisha na kumuonyesha kuwa anapendwa na kujaliwa sana.

Kuna aina mbalimbali za zawadi,binafsi sio mtaalamu sana wa mambo ya zawadi hivyo wadau ningeomba tusaidiane yafuatayo:-

1.Kwa sisi wanaume ni zawadi gani ambayo unaweza kumpelekea mpenzi wako ambaye hamjaonana kwa mwaka mmoja na akaifurahia sana(hapa wakina DADA Mchango wenu unahusika sana.

2.Zawadi hani ni nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako(wakike au wakiume) ambayo ni nzuri sana katika kipinfi hiki cha sikukuu?

3.Katika siku za kawaida tu(sio sikukuu) ni zawadi gani ambazo:-
a)wanawake huzipenda na hufurahia zaidi wakipewa na wenza wao?

b)Wanaume huzipenda na hufurahia zaidi wakipewa na wenza wao?

Naamini kupitia michango yenu mimi binafsi nitajifunza na wengine pia watajifunza.

Karibuni sana
 
Napenda vingi tu, nguo, vito, simu...
Ila zaidi napenda saaaana perfumes na deodorant nzuriiii.
Uwezo wa kunizawadia BMW hana
 
Amani ya bwana iwe nanyi wadau,

tukiwa tunaelekea katika msimu wa sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya;ni dhahiri shahiri kwamba kila mmoja wetu angependa kumpa/kumpelekea mpenzi wake /mwenza wake zawadi nzuri sana itakayomfurahisha na kumuonyesha kuwa anapendwa na kujaliwa sana.

Kuna aina mbalimbali za zawadi,binafsi sio mtaalamu sana wa mambo ya zawadi hivyo wadau ningeomba tusaidiane yafuatayo:-

1.Kwa sisi wanaume ni zawadi gani ambayo unaweza kumpelekea mpenzi wako ambaye hamjaonana kwa mwaka mmoja na akaifurahia sana(hapa wakina DADA Mchango wenu unahusika sana.

2.Zawadi hani ni nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako(wakike au wakiume) ambayo ni nzuri sana katika kipinfi hiki cha sikukuu?

3.Katika siku za kawaida tu(sio sikukuu) ni zawadi gani ambazo:-
a)wanawake huzipenda na hufurahia zaidi wakipewa na wenza wao?

b)Wanaume huzipenda na hufurahia zaidi wakipewa na wenza wao?

Naamini kupitia michango yenu mimi binafsi nitajifunza na wengine pia watajifunza.

Karibuni sana

Mimi msichana wangu anapenda sana mashairi yangu. Nikimpelekea zawadi bila shairi jipya haifurahii sana. Labda ni kwa ajili ya utunzi wangu. Kwa anayetaka shairi zuri la mapenzi kwa bei nafuu ani PM, kisha anipe detail za mapenzi yao, na mimi nitamtumia shairi zuri kutokana na detail muhimu za mapenzi yenu kwa BEI NAFUU. Nawakaribisha.
 
bila shaka bei itakua sh 1/= kwa sekunde
 
Mie binafsi ningependa kumpa Saa ya mkononi,Viatu,perfume,boxer ,Vest na shaving machine...
 
Mimi msichana wangu anapenda sana mashairi yangu. Nikimpelekea zawadi bila shairi jipya haifurahii sana. Labda ni kwa ajili ya utunzi wangu. Kwa anayetaka shairi zuri la mapenzi kwa bei nafuu ani PM, kisha anipe detail za mapenzi yao, na mimi nitamtumia shairi zuri kutokana na detail muhimu za mapenzi yenu kwa BEI NAFUU. Nawakaribisha.

hapa tufanye product testing,tuonjeshe kidogo kabla hatujanunua
 
Mie binafsi ningependa kumpa Saa ya mkononi,Viatu,perfume,boxer ,Vest na shaving machine...

offcourse ni vitu vinavyovutia,lakini kwa mfano kama hatujaonnana kwa mwaka mzima,ni zwadi gani utafurahia zaidi?
 
.......Mnunulie gari kama hana usafiri binafsi na kama uwezo unakuruhusu.
 
Back
Top Bottom