Nimefikia maamuzi ya kubadili dini, nifanyeje?

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
3,434
Reaction score
4,256
Habari wana JF, mimi ni kijana wa kiislamu nimezaliwa katika uislamu, na pia nimepata mafunzo ya dini kwa kiasi kikubwa sana, lakini sasa nimefikia maamuzi ya kubadili dini, ila tatizo lipo katika kuwaeleza wazee wangu wakubali uamuzi wangu, na lengo la kubadili dini ni kuoa mwanamke wa kikristo.

Naombe ushauri wana JF.
 
habari wanajf, mimi ni kijana wa kiislamu nimezaliwa katika uislamu, na pia nimepata mafunzo ya dini kwa kiasi kikubwa sana, lakini sasa nimefikia maamuzi ya kubadili dini, ila tatizo lipo katika kuwaeleza wazee wangu wakubali uamuzi wangu, na lengo la kubadili dini ni kuoa mwanamke wa kikristo, naombe ushauri wanajf

Maamuzi Yako Ni Sahihi Kabsa, Cha Kufanya Ww Anza Kabsa Kuokoka,maana Tayari Utakuwa Na Nguvu Na Mungu Pia Atakupa Njia Ya Kuweza Kuongea Nao. YOHANA 1:12, Inasema Wote Waliompokea Walipewa Uwezo Wa Kufanyika Watoto Wa Mungu. Na Kama Ni Mtoto Wa Mungu,basi Unakuwa Na Uwezo Uleule Ambao Mungu Anao.

Chukua Maamuz Haraka Iyo Ni Sauti Ya Mungu. Ninakuombea Ujasiri Wa Kiungu Ukufunike Ktk Jina La Yesu Kristo.
 
nakushauri endelea kujifunza Neno la Mungu, ili unapobadili ubadili kwa kuwa umemwamini Kristo na sio kubadili ili kuoa mke mkristo...

Ukimwamini Kristo hata huo uoga wa kuwaeleza wazazi utaisha kwa jina Yesu na Yesu atakupigania katika safari yako hiyo.
vinginevyo utaona ukristo ni kama mzigo na huyo mke wala hautamfurahia.
 
Usibadili dini Sababu ya kupata mwanamke, badili dini kwasababu ulichokipata ni sahihi zaidi Katika maisha yako na hutapata woga au ugumu wa kueleza wengine juu ya mabadiliko yako, msichana unayetaka kumuoa ni dhehebu gani?
 
habari wanajf, mimi ni kijana wa kiislamu nimezaliwa katika uislamu, na pia nimepata mafunzo ya dini kwa kiasi kikubwa sana, lakini sasa nimefikia maamuzi ya kubadili dini, ila tatizo lipo katika kuwaeleza wazee wangu wakubali uamuzi wangu, na lengo la kubadili dini ni kuoa mwanamke wa kikristo, naombe ushauri wanajf
Chunga huyo msichana asije akawa ni shoga
 
Maamuzi Yako Ni Sahihi Kabsa, Cha Kufanya Ww Anza Kabsa Kuokoka,maana Tayari Utakuwa Na Nguvu Na Mungu Pia Atakupa Njia Ya Kuweza Kuongea Nao. YOHANA 1:12, Inasema Wote Waliompokea Walipewa Uwezo Wa Kufanyika Watoto Wa Mungu. Na Kama Ni Mtoto Wa Mungu,basi Unakuwa Na Uwezo Uleule Ambao Mungu Anao.

Chukua Maamuz Haraka Iyo Ni Sauti Ya Mungu. Ninakuombea Ujasiri Wa Kiungu Ukufunike Ktk Jina La Yesu Kristo.
yohana huyo huyo anatuambia hao ndugu zake yesu wa familia hawakumwamini .Marko anasema familia yake walimwona ni mwendawazimu
 
habari wanajf, mimi ni kijana wa kiislamu nimezaliwa katika uislamu, na pia nimepata mafunzo ya dini kwa kiasi kikubwa sana, lakini sasa nimefikia maamuzi ya kubadili dini, ila tatizo lipo katika kuwaeleza wazee wangu wakubali uamuzi wangu, na lengo la kubadili dini ni kuoa mwanamke wa kikristo, naombe ushauri wanajf

unataka ukaongozwe na hawa makanisani ???

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom