hongera sana mkuu...
wa kike; marry, Miriam.
wa kiume; Michael, Maurice/Morice.
kama unapenda ya asili basi angalia yenye maana nzuri kulingana na kabila lako.
halafu kwa nini unataka yanayoanza na herufi M? hiyo herufi ina majina mengi mabayamabaya tu.