BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,249
- 11,924
Hivi mwanamke anatakiwa awe na Padlock (makufuli) mangapi na mwanaume pia.Afu wapenzi tujali kununua na kubadili za zamani unakuta mtu anavaa hadi inatoboka.
Na pia ni kwanini wanawake hawapendi rangi nyeusi?Wanaume wengi wanaovaa milegezo ukitazama boxer zao ni chafu sana.Hivi wapenzi wao hawaoni kua zina ugago.
Na pia ni kwanini wanawake hawapendi rangi nyeusi?Wanaume wengi wanaovaa milegezo ukitazama boxer zao ni chafu sana.Hivi wapenzi wao hawaoni kua zina ugago.