Nahisi mpenzi wangu ana bwana mwingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi mpenzi wangu ana bwana mwingine

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gudboy, Aug 26, 2009.

 1. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  mimi ni kijana wa miaka 27, nimehitimu chuo na sasa nafanya kazi serikalini. nina mchumba ambaye naye baada ya kumaliza kidato cha 4 aksoma kozi za computa nae kwa sasa ana kazi. huyu binti nilianza nae uhusiano akiwa form 3 wakati huo nikiwa mwaka wa kwanza chuo. tulipenda sana mwanzo wa mapenzi yetu na kipindi hicho tulikutana dodoma. baada ya kumaliza kidato chake cha 4 alikuja dar kwa dada yake. sasa tatizo ndipo lilipoanzia. nikimwambia tuonane atakubali lakini hawezi kutimiza ahadi mpaka na kibaya zaidi hakupi taarifa yoyote. nimejitahidi kulalamika sana kuhusiana na tabia hiyo na atasema atajirekebisha lakini atarudia tena. kama siku akija kwangu atakua yupo kwenye siku zake na hapo maana yake huwezi kusex nae. hiyo kitu inaniuma sana na ukizingatia sina demu mwingine na pia naogopa sana ukimwi nami ni mwaminifu sana kwa mpenzi wangu. nilitamani niwe na demu mwingine lakini naogopa ukimwi. sasa ilifika mahali ikabidi nimwambie kuanzia leo mimi na wewe na siku nilipokua namwandikia sms hii nilikua nalia machozi mpka nikajona mimi ni ***** sasa kinachoniliza mwanaume mzima ni nini? toka siku hiyo ndio nikajua mapenzi yana nguvu, hadi namwaga chozi. alinijibu mbona hayo ya kawaida tu. na akadai nifute namba zake naye atafuta zangu, nilifanya hivyo.

  sasa nikaanza kumsahau na nikawa busy sana na kazi, sasa cha ajabu baada ya miezi 2 kupita akapiga simu na kudai kuwa ananisalimu, nikasema ahsante kwa kunikumbuka, akapiga tena siku ya pili na nikwamwmbia nipo dom, akasema umekwenda kwetu kuwasalimu, nikamuuliza nitaanzia wapi?

  akafululiza wiki nzima anpiga simu, sasa anataka kurudi kwangu kwa nguvu zote, nami nampenda. ila nilihisi lazima atakua na mwanaume mwingine, sasa sijui imekuwaje huko sasa anarudi kwangu. na sasa hivi nimesafiri moro naye nikamwambia aje w/end na amekubali kuja.

  sasa ndugu zangu nifanyaje je ananipenda kweli huyu na je hatanisumbua tena, maana naumia sana kwa mapenzi ila nampenda.
   
 2. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Gudboy, si umesema unaogopa ukimwi?, kumrudia huyo limbukeni manake unsaka vvu kwa juhudi zote!!
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...jifariji, kama ulivyom quote hapo juu ukweli aliokuambia, na hutasumbuka tena kwenye uamuzi wa kumuacha. Ila, kama upo addicted kwenye kuumizwa kimapenzi na huyo 'msanii' endelea nae...
   
 4. K

  Kitukuu Member

  #4
  Aug 26, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 26
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  achana naye, atakusumbua tena. Huenda kaharibu huko alikokuwa anategemea na sasa anakuletea wewe!!
   
 5. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mdogo wangu huyo mdada anakuchezea akili ..........wee kama alishakwambia delete my namba alafu anakupigia back na wewe unamuendekeza wa nini huyo?....hapo usikute huko alikokwenda alipodhania kwa maana sasa hivi kuna waka moto so anaona ngoja nimrudie mnyonge wangu najua atanikubali tuu.........siye wanawake can be evil sometimes you know......but all in all follow your heart...na hakuna mtu atakayekupa advice zaidi ya wewe mwenyewe kama unataka kusuka au kunyoa.......

  scenario kama zako zipo nyingi sana...au labda kisa cha kukufanya hivyo may be...anyways let me shush....
   
 6. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Bwana Mdogo Gudboy!! Ukisoma tu maandishi yako unapata hisia za kwamba kisa chako ni cha kweli......Wewe bado mdogo sana,na bado una nafasi ya kuonana na wadada wengi,na wa aina tofauti.Napenda kukushauri kuwa "Achana na huyo Dada"...Huyo Dada si mtu mzuri,na kibaya kuliko vyote atakuletea matatizo...Zungumza nae na mwambie unafikiri mna tabia na interests tofauti,aendelee tu na maisha yake na mtabaki kuwa marafiki na si wapenzi......Dunia ya sasa ni ngumu na wadada kama hao wapo wengi,kuwa muwazi na muangalifu unapoanzisha urafiki wa kimapenzi upya....Msome mwenzio kwa haraka nawe kuwa wazi ili akujue vizuri,siku hizi kuna kila aina ya usanii ktk maisha ya kimapenzi...lakini walio wengi wanafanya mapenzi kama njia ya pato!
   
 7. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkubwa God sikushauri urudiane nae huyo dada na mimi matatizo kama hayo nimeyapata sana tena sana.....ila kitu kimoja ni kwamba naamini haya maoni unayopewa hapa na wadau hayataingia akilini mwako maana mwanamke siku zote ni mtu mwingine kabisa na ana vishawishi vibaya sana tena sana.....So hapo naona akili ni kichwani mwako mkubwa pia kuja kutafuta mwanamke mwingine nadhani hatokidhi vitu kama unavyotaka wewe!!

  Unaweza kumkuta anavuta sigara au anakunywa pombe au club kwa sana vitu kama hivyo!!
   
 8. b

  black New Member

  #8
  Aug 27, 2009
  Joined: Jan 26, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh..Those who havent fall in love they never know why an excellent man do suffer because of a normal lass''..this goes far to show you will never please a woman!!
   
 9. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2009
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,568
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  dogo.huyo dem washamvuruga mahala sasa anataka kurudi kwako sababu anakuona zuzu wa mapenzi.mpe kubwa na tafute dem mwingine.kama ni ukimwi unaweza pata dem na mkapima mambo ya yakiwa fresh mnawekana sawa katika masuala ya uaminifu then basi..maisha yanaendelea
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu kumbe demu wa Dom huyo lazima kicheche tu piga chini.
   
 11. M

  MAGRETH JOSEPH New Member

  #11
  Aug 27, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana kaka, kwa kweli huyo dada hakufai hata kidogo anakudanganya na ameshajua kuwa unampenda ndio maana anakufanyia anayojisikia. Be strong my brother, muombe Mungu atakupa msichana anayefanana na wewe. Achana nae na usiogope kumueleza ukweli kwani usipofanya hivyo utaendelea kuumia na hakuna dawa ya kukutibu. Hata hivyo usikate tamaa you are still young, and you have time to prepare your self. Time will come
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Naona mdau ulitaka tu kumega na ndio maana mdada akaona huna ishu. Sasa ivi inaonekana kuna watu wameshazindua halafu wamepiga chini mzigo sasa ndio ivyo mdada amekumbuka shuka saa mbili asubuhi. Inategemea mipango yako kama ni kuoa au kumega ..uamuzi ni wako kijana.
   
 13. L

  Launoni Member

  #13
  Aug 27, 2009
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama unampenda kweli huyo mwanamke na bado unataka kuwa nae basi nawe mtege kama ifuatavyo, inawezekana alivyokuwa hataki kuja kwako akiwa fresh ni kwamba hataki kusex na wewe kwa kuogopa mimba na kuachwa au kujiheshimu tu, sasa akija moro kwanza mpokee vizuri tu then muulize kistaarabu kwanini alikuwa akikufanyia hivyo then mpime kama alimaanisha niyasemayo basi wewe jifanye mgumu na usifanye nae tendo lolote bali mlale tu na akirudi dar kama anakupenda kweli hiyo itamuuma sana kwani atakuwa alijiandaa kwa hilo then kakosa so kama ana mtu mwingine atamrudia tu na kama hana atakuja kukubembeleza na hata ukirudi wewe usimpigie simu kama akipiga wewe ongea nae tu vizuri then baada ya muda kama anaendelea kukusumbua basi ujue anakupenda na kama kuna mtu alimpata kashamuona hafai au kashampiga down so ni nafasi yako kumrekebisha sasa kwani kumwacha si solution, wazungu wanasema running away from a problem is not a good method of solving it so.
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  wana shida gani luv?
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah kuv we acha nita PM ving'ang'anizi hao.
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Kama hamna comitment zozote na dada anaonekana hajaamua kuwa serious na wewe nakushauri jipe moyo uangalie mbele. Utapata mtu wa kukuenzi. Mapenzi sio kitu cha kulazimisha especially suala zima la ndoa. Kama ipo shida kwenye uhusiano wa sasa, wewe unafikiri itakuwaje mkioana halafu akaendeleza libeneke?
   
 17. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  huwa napenda san comment zako unampa mtu sure
   
 18. k

  kissgarage Member

  #18
  Aug 27, 2009
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  kaka ogopa. huyo anacheza na akili yako. some women are very wicked. kuna mtu wa karibu yangu naye alikumbwa na scenario kama yako. kumbe demu alikua changu.
  unajua kipindi kile anakudengulia, alikua na mtu mwingine.kwa hiyo ulivyomwambia basi akaona poa tu. kama angekua ana penzi la kweli angekubembeleza sana. sasa huko alipokwenda inaelekea moto umemwakia, kwa hiyo anajidai kujirudisha kiaina. achana naye wala usimpe tena nafasi.
   
 19. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Piga chini na uende muombe Mungu kutomakumbuka tena. Umemuita kuja Morogoro kufanya na makidai yote aliyokuonyesha? Ni ngumu ila utazoea. Futa namba zake na zako tupa anza upya.

  Mwache huyo ni kicheche.
   
 20. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sasa umemwita ili mrudiane?
  Akija wikendi hauta mega?
  Ulisha mdelete unamtaka tena? Unampenda si ndiyo?
  Kwanini anarudi kwako? Anakupenda?
  Alikuwa na akili za kitoto, sasa amekomaa?
  ....................................................................................................
  Tusije tukasema demu kicheche au yamemshinda huko alikokuwa. Haina haja ya kuwa na uhusiano wa leo ni-delete, kesho nirudishe. Katikati ya leo na kesho kuna nini hapa? some body?
  Akasema nimekukumbuka, ukasema asante...sasa si turudiane? njoo weekend...kufanya nini....acha ukorofi wewe!!
  ................................................................................................................
  Ebwana sikushauri ukatae, pia sikushauri ukubali. Akija mwambie muulize anamapenzi ya dhati. next week mpeleke mkapime afya. Baada ya miezi mitatu mkapime tena. Then uanze kumega...au unasemaje, utaweza kusubili? Thubutu!!!!!!!!!!!!
   
Loading...