Hello i am Aisen by Name and i am a Man
Natafuta rafiki wa kike waku chat nae na ku badilishana mawazo.ikiwa Dodoma ita kua poa zaidi
Kama uta hitaji ni PM.
Habari za mihangaiko wenzangu?
Nina tatizo na mpenzi wangu,tumekua na mahusiano ya kimapenzi takribani miaka mitano sasa,mapenzi yetu mwanzo yalikua mazuri sana kiasi kwamba hakuna aliyetegemea...
Nina rafiki yangu ambaye amezaa mtoto mmoja na mkewe, mimi nimepata ushahidi wa baba yake halisi natamani kumwambia ila anatabia ya kumwambia kila kitu mkewe na mtoto anapokuwa anazidi fanana na...
John aliingia chumbani kwa mama ambaye ndiyo tajiri yake bila kupiga hodi na ikawa hivi
Mama: Wewe John mbona unaingia chumbani kwangu bila kupiga hodi???
John: Kwani kuna ubaya mama...
Wadau i hope mko poa
Kesho namaliza kazi iliyonileta hapa Mwanza, na Thursday nitakua narudi Dar
Wiki iliyopita nilileta uzi hapa unaosema Nimedhalilika sana, mke wa jamaa yangu kaniambia...
Wanaume wengi huelewa kuwa kuna umuhimu wa kumuandaa mwanamke kwa kumshika shika maungo yake ya mwili lakini wengi hupuuzia suala hili kwa kuwa wao hamasa yao ya mapenzi huamka na mwili husisimka...
Habarini,
Kuna siku niliangalia kipindi cha jioni kinachoitwa jungu kuu, kwenye station ya ITV, kama sikosei bi chau ndo alikuwa kungwi
Topic ilikuwa inahusu tabia ya wanaume kupiga wake zao...
Jamani mshikaji analalamika sana kwamba msichana wake a napenda hela sana, eti hela ya saluni tu anataka shilingi elfu Sita (TSHS 6,000).
Tumsadieje huyu jamaa kwenye haya mahusiano?
Nimatumaini yangu wote ni wazima
jina langu ni Kelly nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana kabla sijaenda kusoma mkoa mwingine ambao ni DSM nilimwambia naondoka lakini unabidili...
Kizungumkuti #01
Mtunzi..Junior Stories
Simu ilipigwa kwenda makao makuu ya jeshi la polisi kitengo cha Criminal investgator lakini iliita mpaka ikakata bila kupokelewa, mpigaji hakutaka kukata...
Habari zenu wana jamii
Nimekuwa na kijana mmoja tumekuwa na mauhusiano kwa mwaka mmoja ila tukaachana kutokana na mwenzangu kuonekana anampenda ex wake zaid yangu.Wakati tupo katika mahusiano...
Habari zenu wana Jf,
A friend of a friend amepatwa na hili nikaona sio mbaya kuja kushare nanyi.
Alikua anaitaji uhamisho wa kikazi ndani ya wilaya kwaio akaandika maombi na akafanya process...
Niko katika hali ya kusikitisha kila siku mimi hulia machozi maana sina hata mtu wa kunisalimia hata kwa mbali nahisi kufa kufa hata sili maana ninaowahitaji nafikiri hawanihitaji hata kidogo...
Wanajamii naomba ushauri kwa hili
M.m nin muajiriwa ila kipato changu hakitoshi na majukumu niliyo nayo
Mke wangu kwao wako safi ila hataki kunisaidia ananiambia sio jukumu langu aisee huwa napata...
Wakuu,
Hata salamu sitoi kwa huzuni nilokua nayo,
Hivi kweli wazazi na watoto wadogo wa kike wamefkia hatua hii,! Iko hivi wakuu leo katka kutafta pahala walau nikapumzike nipunguze stress za...
Kwanini ujione usiyefaa na uliyejaa mabaya tu? Badala ya kutazama yale yaliyo mabaya na yakushindwa katika historia yako, tazama mafanikio.
Kila binadamu ana kitu chema ndani yake. Ukishajua vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.