wewe ni ke au meNiko katika hali ya kusikitisha kila siku mimi hulia machozi maana sina hata mtu wa kunisalimia hata kwa mbali nahisi kufa kufa hata sili maana ninaowahitaji nafikiri hawanihitaji hata kidogo. Sijui mimi nimemkosea nini Mungu.
Naombeni ushauri.
we utakua punga mwanaume hawezi kuja kutangaza huwa analia kwasababu hakuna anayempenda, unataka kusema hata wale wa kona bar nao wanakukataa?Mi ni man
Niko katika hali ya kusikitisha kila siku mimi hulia machozi maana sina hata mtu wa kunisalimia hata kwa mbali nahisi kufa kufa hata sili maana ninaowahitaji nafikiri hawanihitaji hata kidogo. Sijui mimi nimemkosea nini Mungu.
Naombeni ushauri.
shida yako ni nini?
umekosa bar ya kwenda kutazama mpira na kusahau shida zako japo kwa masaa?
Shida hazimalizwi bar
Bar ni mahala pa kunywa na kufurahi