Siri nzito juu ya rafiki yangu

Siri nzito juu ya rafiki yangu

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,185
Reaction score
14,758
Nina rafiki yangu ambaye amezaa mtoto mmoja na mkewe, mimi nimepata ushahidi wa baba yake halisi natamani kumwambia ila anatabia ya kumwambia kila kitu mkewe na mtoto anapokuwa anazidi fanana na baba halisi ,kiupande nahisi natenda nisivyotaka tendewa upande mwingine naona nikae mbali hayanihusu.

ADVICE DON JOKE
 
Kama nirafiki yako mwambie maana utakaa kimya hafi lini, na unafikiri solution ni kukaa kimya ndo utakuwa umemsaifia?

Kama akija kuujua ukweli na wewe ulimficha atakulaumu sana.
 
Damned if you do, damned if you don't. Do what you think you'd want him to do, if you was on the flip side.
 
Hakuna haja ya kumuambia...na akija kufahamu ni rahisi tu kumwambia sikujua! Ukishaanza kujifikiria ningekuwa mimi utajikuta unaropoka tu kila kitu kwa watu!!!

Kwa hali hii ni vyema kutumia ile principle ya Socrates:

- Is it true?

- Is it Kind?

- Is it necessary?
 
Kuna point ya msingi hapo. Ila kama ni rafiki yako wa ukweli, unavumiliaje kuona akichoreka? Huwezi kuwa na amani hata kidogo.
 
Nina rafiki yangu ambaye amezaa mtoto mmoja na mkewe, mimi nimepata ushahidi wa baba yake halisi natamani kumwambia ila anatabia ya kumwambia kila kitu mkewe na mtoto anapokuwa anazidi fanana na baba halisi ,kiupande nahisi natenda nisivyotaka tendewa upande mwingine naona nikae mbali hayanihusu.

ADVICE DON JOKE

Apo ndo umefikiria... ila sijui kwann umeileta humu
 
Kuna point ya msingi hapo. Ila kama ni rafiki yako wa ukweli, unavumiliaje kuona akichoreka? Huwezi kuwa na amani hata kidogo.

Anachoreka na nani? Which means kuna watu wengi wanafahamu. Basi wacha hao wamuambie. Wewe kama rafiki subiri aje kwako kuomba ushauri baada ya kuambiwa!

Tatizo kubwa lipo kwa ukimuambia kuliko usipomuambia!
 
Hutakiwi kuingilia ndoa ya rafiki yako. Hilo ni suala zito sana. Waachie wenyewe.
Ukishavuruga amani kwenye ndoa yao itakusaidia nini?
 
Anachoreka na nani? Which means kuna watu wengi wanafahamu. Basi wacha hao wamuambie. Wewe kama rafiki subiri aje kwako kuomba ushauri baada ya kuambiwa!

Tatizo kubwa lipo kwa ukimuambia kuliko usipomuambia!

And that's the point. Watu wengine hawatamuambia zaidi ya kum-mock, na pengine muda atakaokuja kufahamu, damage itakuwa tayari ishafanyika. True friendship is about telling each other the truth bro, no matter what it is. No sugar coating, no nothing. Yeye amwambie ukweli, halafu amuache afanye maamuzi kwa utashi wake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom