Namna ya kuamsha hamasa ya mwanamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna ya kuamsha hamasa ya mwanamke

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MziziMkavu, Oct 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Wanaume wengi huelewa kuwa kuna umuhimu wa kumuandaa mwanamke kwa kumshika shika maungo yake ya mwili lakini wengi hupuuzia suala hili kwa kuwa wao hamasa yao ya mapenzi huamka na mwili husisimka tayari kwa kuanza kushiriki tendo la ndoa mara tu baada ya kuona mwili wa mwanamke ukiwa mtupu.

  Mwanaume wa namna hii huwa hawezi kumfikisha mwanamke kwani mara baada ya kumuingilia mwanamke ambaye hayupo tayari kuingiliwa kimwili kwa kuwa hajaandaliwa, mwanaume hujikuta anafikia mshindo ndani ya sekunde kadhaa na hata akitaka kuzuia bao hushindwa kufanya hivyo, hivyo hujikuta amemaliza haja zake za kimwili na kumuacha mwanamke pengine akiwa hata wazimu haujampanda na kwa bahati mbaya akingÂ’amua hushindwa kurudia tena tendo kwani haitasimama tena.

  Wataalamu mbali mbali wa mapenzi wanabainisha ya kuwa wanaume wenye kutumia muda mwingi kumuandaa mwanamke huweza kujizuia kufika mshindo mapema na hivyo hudumu kifuani kwa muda mrefu na hata kufanikiwa mfikisha mwanamke kileleni zaidi ya mara moja.

  Hata hivyo muda wa kushikana shikana hutofautiana baina ya mwanamke na mwanamke, wanawake wengi husisimka kutokana na kushikwa matiti, matiti ya mwanamke mara nyingi ni yenye kusisimka sana endapo yatatomaswa vizuri kimahaba ama kwa kutumia mikono au mdomo kupekecha chuchu mithili ya mtu anayemungÂ’unya pipi na wazimu ukianza mpanda ncha za matiti husisimka na kujitokeza yaani hudinda na hali hiyo hujitokeza sehemu zake za siri pia kwa mashavu ya k kupanuka na kuwa na hali ya kusisimka huku kinena kikimsimama na tezi zake hutoa ute.

  Ute hutoka mahususi kuruhusu uume kupenya kwa urahisi, hata hivyo si wanawake wote huamsha hamasa ya mapenzi kwa kuchezewa matiti hivyo basi mwanamke anatakiwa kumwongoza mwanaume kwa maneno ama kwa kuweka mikono eneo anataka ashikwe ili apate hamasa ya mapenzi.

  Aidha, wanawake wengine huwa hawana ujasiri wa kumwongoza mwanaume kumtomasa sehemu inayomnyegesha, hivyo kujinyima raha ya mapenzi. Hivyo mwanaume anapaswa kumshika shika mwanamke sehemu mbali mbali kama shingoni, mabegani na kumbusu sehemu ya juu ya mwili wake taratibu akiteremsha mikono kwenye sehemu za siri za mwanamke lakini ahakikishe hana kucha zenye ncha na vidole vikavu ili kutomuumiza mpenziwe na kusababisha ashki impotee gafla na asitake tena mambo!

  Hapa ili zoezi liwe lenye mafanikio mwanamke anatakiwa kuonyesha ushirikiano kwa kutoa miguno ya kumchanganya mwanaume huku akitanua vema miguu ili mwanaume aweze kushughulika vema na sehemu inayozunguka kinena, hadi atakapobaini mabadiliko ya moyo wa mke, ngozi kuwa na joto, pumzi kuongezeka, uso kukunjamana mithili ya mtu anayeumia na anaweza lia kwa utamu anaousikia na hapo mwanaume anaweza kumwingilia kwani huwa tayari kuingiliwa kimwili.

  :-Ukisoma mada hii mtumie na rafiki yako link hii ili ajifunze kwani lengo la blog hii ni kuelimisha jamii nzima ili kila mtu afurahie mapenzi.!
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Makubwa! Napita
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Pita tu na njia angalia usijikwae CHUAKACHARA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu Mpwa leo vipi leo? subiri bhana ifike japo ijumaa eeeh, hii ni ya pili naiona una post tangu asubuhi sasa unaniumiza sana maana tayari nimeshaacha kitanda nipo kwa mwajiri, usitake nianze kufikiria mbali Mpwa, tafadhali sana, laiti ingekua Ijumaa fulani hivi au jumamosi lazima jumatatu ningekuletea feedback....subiri nimfowadieMy wife wangu ilai kesho nikichelewa job utakuwa responsible kwa huu usumbufu utakaokuwa umeusababisha hahahahhaahahaaa
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Asante mjomba eli fanya kazi nisikuharibie kazi ni uti wa mgongo............
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Good presentation mzizimkavu!!!!!!!!
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  thank you Mkubwa Mzalendo wa ukweli
   
 8. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  MziziMkavu what's wrong with you broda..lol
  Yaani leo umeamua kuja kiivi...utafanya jumanne ya leo iwe ngumu manake asubuhi yote hii ushaturudisha tena kuuulee..
  Anyways nice observation!...keep it up!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,344
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Kuongezea tu ni kuwa kiungo chochote cha mwili wa mwanadamu(haswa mwanamke) ambacho ni mithili ya ncha au upaba(mathalani chuchu, masikio, midomo, kinena) au maungio ya viungo(kwenye kona nyuma ya goti, shingoni)...hizi sehemu ni muhimu sana kwenye kumpa hashiki mwenzi...
  Wakati wa chakula cha usiku jaribu kuzipapa, kulamba na hata kupitisha pumzi sehemu hizo taratibu na kwa ustadi mkubwa.
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu SnowBall usijali my Brother si unajuwa Mwaname pasipo kuwa na mwanamke hakuna raha kabisa? Mwanamke kaumbiwa mwanamme na mwanamme kaumbiwa mwanamke Raha juu ya raha tu kaka.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu asubuhi hii tena asubuhi ya jumanne,wenzio hatujamaliza viporo vya wiki ya jana!unataka watu wasingizie wanaumwa ili tuwafate maofisini au?manake cha kutuhamasisha asubuhi yote hii nini jamani !ah mi ntaumwa muda sio mrefu jamani ili tu nijimuvuzishe home!
   
 12. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  KEEEEEEEREUWIH! MziziMkavu haya unaona watu hatutafanya kazi leo hapa,naombeaje mwalimu mwenzangu gfsonwin awe na vipindi mpka jioni na mke mwenzangu wa sirini cacico nae awe busy au hata Elizabeth Dominick awe na dili kali kweli kweli wasije huku!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,344
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  hahaha...kazi twafanya na utundu twatupia mtani...
  nawe fanya kutoa somo japo kwa mistari michache...teh teh teh!!
   
 14. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  hahahahhaahhahhaha mi nitatoa nondo baadae bana !unataka nisifundishe nini leo!lol
   
 15. awp

  awp JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mmmmmmm asubuhi yote hii mnaanza kuchafuana pichu?
   
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mwenzenu leo nimeshikwa kiuno na mwanamke na akasema ni bahati mbaya,toka wakati huo najisikia tofauti tofauti,sijui itakuaje maana mama watoto hayupo.
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu snowhite ninakuona unawaita wote basi leo jumanne kazi hawatakwenda na watoto siijuwi nani atawafundisha ngoje waende kazini warudi jioni ahahahhahahahahah
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  mkuu Joseph Iba tu lakini si unajuwa Za mwizi zake ni siku 40................... ikifika Arubaini yako utakamatwa....... iba lakini uende mbali na unapokaa wasije majirani wakakuchomea kwa mke wako...................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ah mi nishaona hali ya hatari hapa!kuna watu watapata not taught kwenye journal zao leo!
  mi simo mchanga wa pwani huo!
   
 20. Gogo la choo

  Gogo la choo JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 714
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Duuhh..jamani watoto hawajalala bado..na huwa wanapitapita hapa..!!
   
Loading...