Hi mimi ni kijana wa miaka 24 natafuta msichana (mchumba) ambaye nitaweza kudate nae na pia awe serious sitaki pasua vichwa kbsa maana nishaumizwa vya kutosha. Napendelea msichana mwembamba sio...
Habarini wana jamvi,
Ninachukua nafasi hii ya kipee kuishukuru Jf hasa hasa jukwaa hili la MMU kwakua msaada mkubwa sana kwangu pindi ninapofikwa na magumu maishani kwani hua ninakuja huku...
Kwani lazima kila kizuri uwenacho?kwani lazima tushindane kumiliki vinono?
Kwani lazima uyafuate maisha ninayoishi homo sapiens mwenzako?
Ifike mahali utambue mimi pia na hulka zangu..ukijikuta...
Una smart phone 3, girlfriend wako anazo 2 na ni wewe umemnunulia, mama ako ana simu feki ya Kichina tena imezungushiwa rababendi. Kila siku
unamtoa girlfriend kwenda kula nyama, bia na starehe...
Wanawake hasa wa humu jf wamekuwa wanatutuhumu wanaume kuwa tunachepuka sana na kila mwenzao anapoleta uzi unaomtuhumu mwanamme wamekuwa wakiimuunga mkono bila kujua ukweli wa upande wa pili ina...
1. Kissing your man is not a problem. The problem is how you do it. Stopmaking Sounds like a car crash.
2. Screaming during sex is romantic and it's not a problem. The problem isshouting words...
Wadau heshima kwenu wote kwa mpigo!
Nimetoka kijijini siku chache zilizopita na kuyaona ya kustaajabisha,baada ya kuona mwalimu wa shule ya msingi mstaafu akizini na binti yake wa kumzaa na huku...
Kwa mwenye uelewa halisi wa ndoto hii tafadhari msaada nko njia panda;
Mimi na mpenzi wangu tunaishi mikoa tofauti wiki 2 zilizopita mpenzi wangu aliniomba namba ya rafiki yangu wa kiume...
Naomba kusema, wanaume tuheshimiane tena tuheshimiane, tabia ya kuachana na mwanamke lakini huishi kumfuata fuata kwa maneno jiheshimu tena jiheshimu.
Nimechoka na nimekuchoka ndio maana nimekuja...
Kampuni moja ya kutengeza madawa imelazimika kujitetea vikali baada ya kupandisha gharama ya dawa ya Ukimwi kwa asilimia 5,000.
Hii inamaanisha kuwa bei ya tembe moja ya dawa inayotumika kupunguza...
Habari wanajamii wenzangu,
Leo naomba kufaham juu ya hii tabia ya wanawake kuwachukia waume zao hususan wakiwa wajawazito chanzo chake ni nini? Maana imekuwa ni shida hadi inafikia hatua ya...
Wadau habari za kazi.
Wiki mbili au tatu zilizopita nilikuja na mkasa unaosema Nimemtelekeza supermarket na bili ya laki nne. Naomba mrejee habari hiyo.
Naomba niwakumbushe japo kwa muktasari...
(By Madeleine Holden)
.....for the sake of helping men who date women get an idea about where they might be going wrong, I put the question to my Twitter followers, and lo and behold! ...
Hi mimi ni kijana wa miaka 24 natafuta msichana (mchumba) ambaye nitaweza kudate nae na pia awe serious sitaki pasua vichwa kbsa maana nishaumizwa vya kutosha. Napendelea msichana mwembamba sio...
Forgive Others
As followers of Christ, our character should mirror His character. We should be helpful, kind and tender, understanding and loving to one another. Most of all, we should be...
Hivi ndiyo wazazi wetu wanavyowaambia mabinti zao,
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!
Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?
Miaka 26...
Habarini,
Mimi huwa nashangaa sana, for example labda watu wamezoea kuona kuwa wewe unavaa mtumba then mwisho wa siku baada ya kupiga dili zako za mjini na kupata mkwanja unaamua labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.