ludoking
Senior Member
- Oct 5, 2008
- 124
- 71
John aliingia chumbani kwa mama ambaye ndiyo tajiri yake bila kupiga hodi na ikawa hivi
Mama: Wewe John mbona unaingia chumbani kwangu bila kupiga hodi???
John: Kwani kuna ubaya mama??? Siwezi kukukuta hujavaa
Mama: Pumbavu wewe, hujui hapa ni chumbani, na je kama ukinikuta sijavaa nguo???
John: Hapana mama, huwa kabla sijaingia chumbani kwako nachungulia kwenye tundu la kitasa. Nikiona hujavaa ndiyo huwa naingia
TOA MAONI, WEWE KAMA MAMA, UNGEMFANYA NINI JOHN