Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajamii naomba ushauri kwa hili M.m nin muajiriwa ila kipato changu hakitoshi na majukumu niliyo nayo Mke wangu kwao wako safi ila hataki kunisaidia ananiambia sio jukumu langu aisee huwa napata...
0 Reactions
95 Replies
10K Views
Wakuu, Hata salamu sitoi kwa huzuni nilokua nayo, Hivi kweli wazazi na watoto wadogo wa kike wamefkia hatua hii,! Iko hivi wakuu leo katka kutafta pahala walau nikapumzike nipunguze stress za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanini ujione usiyefaa na uliyejaa mabaya tu? Badala ya kutazama yale yaliyo mabaya na yakushindwa katika historia yako, tazama mafanikio. Kila binadamu ana kitu chema ndani yake. Ukishajua vitu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ggggggggg
3 Reactions
27 Replies
8K Views
inashangaza siku izi ata mzazi anaijiita mkristo anajua fika bintiye au boy anatembea na mtu et uchumba2 na anafurahi bila kukemea! watu wanawaita wazinzi shem!! chakushangaza binti mmoja...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
MAKALA KUTOKA KATIKA Sehemu 1: Uumbaji Mpaka Gharika Mbingu na dunia zilitoka wapi? Jua, mwezi na nyota, na vitu vingi duniani, vilitokea namna gani? Biblia inatoa jibu la kweli inaposema...
5 Reactions
79 Replies
25K Views
Upendo wangu kwako ni kama Vijana wa bodaboda kwa Lowassa, najua unapendwa na wengi kama Lowassa ila mi ningeomba niwe karibu yako kama mbowe, sitaki kutoa ahadi nyingi kama CCM, ila tu nakuahidi...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Hello am 21 yrs old,niko Arusha ,natafta girlfriend ambaye ntakua nae 4 fun en kupeana nae raha...en km anahitaji 2kapime b4 kua wote ni poa....km uko tayari niPM ....kigezo ni kwamba uwe na miaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF, Kwa wale wataalamu wa hizi mambo,hivi ni mambo gani ambayo inabidi umfanyie mpenzi wako ili uweze kuwa romantic patner kwa jinsia zote.Kuna jamaa mmoja juzi kati alipigwa chini na...
1 Reactions
109 Replies
30K Views
pain often make us be strong but sometimes better a dogs than human being , I can not describe how I hurting, I am MC of the weddings, though not so much, x wangu alituma watu waje wanikodi with...
2 Reactions
117 Replies
9K Views
Kina dada wengi mnawahi kutoa karanga mapema sana.Unakuta mwanadada mmefahamiana leo kesho anakuonjesha.Zamani hadi mdada anakupa unakua umemaliza soli 3. Hii inapelekea vijana wengi kusema kama...
5 Reactions
108 Replies
10K Views
Yes! Kama unashabiana kimwenendo na our next first lady Regina Lowassa then uhakika wa kuolewa unao! Kama sivyo jiangalie mapema kuanzia sasa! Ni ushauri wa bure kwa wadada na wakaka pia!
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari wanajamii, Nina rafiki yangu ameachana na mke wake wa ndoa miaka mitatu iliyopita na wamezaa watoto wawili. Chanzo cha kuachana ni kutuhumiana kuhusu kuchepuka. Tatizo ni kuwa kila mmoja...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni msichana niliempenda kwa dhati miaka 5 iliopita. Lakini alipoenda chuo alibadilika akapata mabwana wengine tukaachana. Leo hii amemaliza chuo anadai kuwa ananipenda mimi duh!
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa amembeba mama mkwe kwenye kagari kake Eskudo, kamechokachoka, kushoto kwake amekaa mke wake, mama mkwe kakaa siti ya nyuma. Wako kwa gari imeshika lami, si...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikua nakaa nae, ila hajanioa, nimeamua kuondoka, ntafute kwangu, niishi kivyangu, japo bado nampenda na kumuheshimu kama mpenzi wangu,ananikasirikia na ananinunia,na hajanioa ila hataki nikakae...
2 Reactions
110 Replies
10K Views
Wadau, Tuwe makini sana hasa wakati tunapotafuta wake wa kuoa maana kuna baadhi yao hawafai kuoa, ndo ivyo tena.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndugu zangu wanajamiiF, Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa, lakini cha kushangaza anasema hawezi kuolewa bila harusi na mimi sipo tayari kufunga harusi, na anasema anaomba Mungu apate bwana...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
.......
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom