Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,548
ggggggggg
Hebu tupia video clip moja tukuamini...lasivyo yatakuwa ni maneno matupu kama ya ccm
Unauwezo wa kurusha juu ya bati?
Habari za mchana kuendea jioni wana MMU. Natumai mu wazima na mnaendelea na kazi za ujenzi wa Taifa na kuandaa vikatio vyenu.
Nimekuwa katika msononeko wa low perfomance nikiwa kitandani. Actually sikujua kama nina upungufu wa nguvu za kiume au ni uzoefu ndo ulikuwa unaniangusha. Nasema inawezekana uzoefu kutokana na kuanza mapenzi katika umri mkubwa lakini pia kufanya kwa kuibia huku naogopa sheria za dini na jamiii pia kuwa watanichukuliaje wakijua pengine.
Kilichotokea nilikuwa nikiingiza tu, sekunde ya 30 au 47 namwaga. Mwenzangu anaanza kunishangaa. Ikishatokea hivo na mimi nashikwa na mawazo na msononeko sana.
Mwaka jana mwezi wa tano niliamua kuachana kabisa na issue za mapenzi hadi mwezi jana mwaka huu nilipoamua tena kujaribu labda nitakuwa nimeimprove. Mambo hayakuwa tofauti, nilijikuta niko vile vile.
Kufupisha:: niliamua kufanyia kazi ushauri wa wanajamii forum jinsi ya kuondokana na tatizo hili kupitia nyuzi mbali mbali hapa MMU.
Kati ya ushauri ni Mazoezi ambapo Niliamua kuanza mazoezi makali sana, kabla sijaenda kazini, na jioni pia kabla sijalala. Lakini pia nilikuwa nakula kitunguu saumu, tangawizi, pweza na asali kama sina akili vizuri. Baada ya muda niliamua kujiamini tu kuwa nimepona nikasema sasa naweza kumtafta mama yoyo maana b4 nilikuwa namkwepa.
Nashukuru sana maana shughuli ya sasa sio ya kitoto. Napiga show mda ninaotaka hadi anasema poooooooo.
Ushauri;: kwa wanaume wenye tatizo kama nililokuwa nalo mimi, fanya mazoezi na ujaribu vyakula nilivyoainisha hapo juu.
Shukurani:: kwa wanajamii wote wa MMU, kupitia nyinyi sasa niko poa. Naomba kila mmoja hapo alipo achukue vocha ya buku tano nitalipa kama sehemu ya shukurani zangu.
Asante!
Evelyn Salt like this!