Ni mwanaume nina 26 yrs. Ninakazi yangu na maisha ya maana kabisa. Nina elimu ya juu sana nipo Morogoro nahitaji mchumba wa kuoa. Tabia haijalishi nitairekebisha mwenyewe nipo vizuri...
Nimekuwa najiuliza kwa nini wanaume hawavai pete za 'engagement'?
Ni kwa nini wanawake ndio wanaodhaniwa wanastahili tu kuzivaa (ni ili wasibadili mawazo au)?
Ifike wakati Me nao wavae
Nimeona tukumbushane mambo muhimu kidogo katika jumapili ya leo. Taifa bila virusi vya ukimwi inawezekana, jitahidi kufanya haya:
Tumia kinga kila mara unapokutana kimwili. huwezi kumjua...
​
BY MAUREEN OJUNGA
I spent most of Saturday trying to console a friend who had just found out in the most embarrassing way that he wasnt his first childs biological father! The said...
Miaka hiyo nyansincha seventh day adventist sec school tunaimba mapambio ya kumsifu Mungu kwa hisia na moyo wote ktk eden ile iliyosalia
Wakati huo huo namtokea mtoto rose huku nikimwogopa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20.Ni mrefu kias,rangi ya maji ya kunde,mtanashati,najua kupenda,niko vizuri in short.Nipo form 6 now.Natafuta msichana wa kuwa nae as my girl friend awe...
Wiki mbili zilizopita jamaa mmoja ambaye tupo naye ofisi moja anadai kukutana na mrembo mmoja ndani ya Min Super Market moja maeneo ya Mwenge.Baada ya kufahamiana nae na kubadilishana namba...
Amin nawaambia kizazi hiki hakitapita hata yote haya yatimie, mbingu na nchi vitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe, walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye hata malaika walio...
Yaani sijui ni mkosi ama ni nini?Kila mara nitumiapo kondoms ni mara chache sana kutopasuka.
But mara kwa mara napata ajali ya kupasukiwa na hivi vitu ninapokua tendoni. Huwaga natumia tu hizi...
Hii nimeiona kwa vijana wengi walio wengi bila kujali jinsia zao.
Unakuta upo kazini, chuoni, shuleni au hata kanisani na mtaani tu unakuwa unahitaji ukaribu fulani na mtu wa jinsia tofauti na...
Mimi ni kijana ambaye natarajia kuoa karibuni but mchumba wangu tuna kama mwaka mmoja hivi ila tatizo ni mlevi na mimi situmii kabisa pombe na cha ajabu nilikuja kujua tayari tuko ndani ya mapenzi...
Kwa akina Dada kama WATAKA mmeo akipata mshara akukabidhi wewe wote na upange matumizi utakavyo bila kukuuliza chochote,
Na kwa wanaume kama wataka mkeo awe anakubeba kila uendako uwapo nyumbani...
Mambo vipi wana Jf wenzangu?
Karibuni tujadili hii mada maan hadi sasa nachanganyikiwa kabisa sijui ndio napendwa au zuga tu! Ok turudi kwenye mada. Just imagine wakati nikiwa na mishemishe...
Habari zenu wanajamvi,
Pole na uchovu wa leo nimekuwa na mahusiano na huyu mwanaume zaidi ya miezi kumi sasa ananipa kila kitu na mapenzi yote.
Tatizo lilianza pale nilipomuuliza yeye nikisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.