Wanaume nao wavae pete za "engagement"

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,725
7,562
Nimekuwa najiuliza kwa nini wanaume hawavai pete za 'engagement'?

Ni kwa nini wanawake ndio wanaodhaniwa wanastahili tu kuzivaa (ni ili wasibadili mawazo au)?


Ifike wakati Me nao wavae
 
unashangaa za hizo wakati wengine baada ya harusi anavua anaweka kabatin na ukiuliza unaambiwa inanibana sana,,,,,,achana nazo hizo
 
Nimekuwa najiuliza kwa nini wanaume hawavai pete za 'engagement'?

Ni kwa nini wanawake ndio wanaodhaniwa wanastahili tu kuzivaa (ni ili wasibadili mawazo au)?


Ifike wakati Me nao wavae
Kwani huwa wanalazimishwa kuvaa? Si ni vihele hele vyenu ndo huwa vina sababisha mvae. Ili mjionyeshe kwa ati mna wachumba.
 
Wanatakiwa kuvaa ila kuna sababu kama alergy,pete kubana kutokana na unene au kukosewa kutengenezwa nk.nk. ambazo humfanya mtu kushindwa kuvaa pete.
 
Mi nadhani ni muhimu kwa mwanamke kuvaa ili kupunguza usumbufu/vishawishi vya kutongozwa. Ila wanaume kwa kuwa hawatongozi umuhimu wa kuvaa pete ni mdogo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom