Ukitaka kupata mume mwema ni muhimu kuzingatia..........

nyongeza;

USAFI; tambua hakuna mwanaume anapenda binti mchafu hata kama ye binafsi ni mchafu.si mwili tu bali hata eneo unalikaa, ukimkaribisha mwanaume kwenu halafu anakuta vitu sebuleni vipo shagarabagara vumbi limejaa ujue ushamkosa.

MWONEKANO/UNADHIFU; mwonekano wa nje pia umo,kuanzia mavazi,ukiwa mtu wa pit shorts kama za aunty ezekiel tegemea kupata wa kufanana nawe.unakuta binti hajaolewa lakini kuchana tu nywele anaona shida...nywewe ziko hovyo usitegemee kuona barua ya posa kwa ajili yako.

HISTORIA; aisee jitengenezee historia nzuri, kila unachofanya watu wanakumbuka. Kama ulikuwa kiruka njia una kazi ya ziada kumshawishi mwanaume mstaarabu...zaidi sana utapata kiruka njia mwenzako.

POMBE/ULEVI; ni wanaume wachache sana wanaiweza kuoa mke mlevi... hata walevi nao hupenda wake wasiokunya pombe. Pombe weka mbali kabisa, acha,kumbuka mwanamke akinywa bia moja mwanaume anakumywa tano...mwanamke hata uwe mzuri vipi ukiwa mlevi tu status yako inashuka.

HESHIMA KWA WAZAZI WAKO; wanaume wengi tunaamini mwanamke asipowaheshimu wazazi wake...hawezi kuwaheshimu wakwe kabisa... so ili kuepuka migogoro ni kuwapita tu kama hatuwaoni..

ngoja niishie hapa.
 
Uko juu kama ndege ya obama.... We as amercan,hahah saaaf mkuu.
 
Hii inaweza kuwa moja ya criteria zako. Wengine zinaenda zaidi ya hapo
 
Muhimu kuliko yote ZINGATIA HUYO MUME ASIWE BAHILI! Baaaaaaaaaaaaaaaasssssssss!
 
ni kweli mkuu...hata hivyo siwezi kuandika vyote...mi mwenyewe naenda zaidi ya hapo...hapo ni kwa ufupi tu.
 
Habari za jioni wapendwa. Nafikiri kila dada anatamani kupata mumemwema ok ni jambo jema but nasie tuna paswa kujiandaa ili hiyo zawadi njema inapokuja kutoka kwa bwana wewe binti ufanyike baraka katika maisha yake.
1. Utii, biblia inatufundisha wanawake tutii wanaume. Kama umekosa utii sasa usitegemee kutii ukishaolewa. Ni vizuri kujipima kiwango cha utii ulionao kama ume lack utii, yupo mfinyanzi wetu bwana yesu anaweza hata sasa kutufinyanga na tukawa vizuri zaidi.

2. Kuheshimu ndoa za watu wengine. Pia neno linatuasa kua ndoa na iheshimiwe na watu wote. Je naheshimu vipi ndoa za watu wengine? Kama binti una tabia ya kuchukua waume wa watu it is possible na wako kuja kuchukuliwa so ni vema kuheshimu sana ndoa za wengine na kuziombea. Ni hilo tuu.
Matusi hayaruhusiwi please

3.Ajue mahaba
 
Bright, classy, naughty, friendly, attitude, innocence, sense of humor, loyal, honest, passionate, self awareness, beauty.

A letter to God.
 
Muhimu kuliko yote ZINGATIA HUYO MUME ASIWE BAHILI! Baaaaaaaaaaaaaaaasssssssss!
Uko sawa kabisa.
Yaani hata Michepuko yake aihonge sawasawa kama
Amhongavyo mpenzi wake pamanenti au mama
Watoto wake mtarajiwa.Ubahili sio.
 
Back
Top Bottom