Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau, Nina mchepuko ambae miezi michache iliyopita alipata matatizo kazini, kabla ya matatizo hayo hakua anaomba hela kabisa, kitu ambacho kilinivutia sana, Nina majukumu mengi nyumbani kwangu...
1 Reactions
86 Replies
7K Views
Kwa ujumbe huu nawajulisha kuwa kama kuna msichana ambaye yupo tayari kuolewa tafadhali ani PM na aweke contact zake for further conversation am so sirious sio matani mke/mume hupatikana popote...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni muda sasa hali hii imekua ikinishangaza, yaani ipo hivi; mimi popote niwapo, ikitokea nimekutana na mwanamke ni lazima atabadilika! Mfano, napita sehemu na kuna mwanamke anakuja tupishane, basi...
0 Reactions
96 Replies
10K Views
Pale una mkuta mtu na msichana ambaye wewe una muona sio mzuri wala havutii ila mwenzako kampenda sana , hapo ndo uta gundua mapenzi ni mazoea.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wandugu, Naishi Boma N'gombe - Moshi na nahitaji marafiki wa kike tajwa hapo juu kutoka sehemu yoyote TANZANIA Sifa; Awe anapenda kuchat (ila sio addicted) Hata akiwa na mtoto sio shida Awe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JE, UNAJUA NI KWANINI NDOA HAZIDUMU? Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua ndoa inaenda mbali zaidi! Kuna ndoa na kuna...
7 Reactions
54 Replies
6K Views
Tunakaa kota jirani yangu mmoja alinifata kunilalamikia juu ya jirani yetu mwingine,wakiwa wanaduu na mumewe wanaskia sauti za mahaba,ananiomba ushauri kama amwambie au la!mimi nimeona kumwambia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii ni kwa wale tu wenye malengo ya kuwa mamilionea siriaz...
2 Reactions
48 Replies
8K Views
Wakuu habarini humu, Kama wiki mbili zimepita kuna ofisi moja maarufu sana hapa Mji wa Mawe aka Roku city,kuna Brother wangu ambae hapo ni Meneja sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila...
4 Reactions
126 Replies
16K Views
Kuna tabia humu zinakera sana, zikome haraka sana. [LIST=1] Tabia ya kila ukiletwa uzi na mwanaume kuhusu mke wake wanaume karibu wote wanamshauri mwenzao amwache mke wake, hiyo tabia mkome...
25 Reactions
208 Replies
16K Views
I have been in a barf love for tang by hern of years with the boerturn of hugmad love.she loved me and i ferd by calniverl as never ever husk by marves and oldered.i feel shy to inkl you the story...
2 Reactions
120 Replies
9K Views
Waungwana naomba kuuliza, Hivi kutafuta mpenzi mitandaoni, ndiyo imekuwaa fasheni au ni kushindwa kuongea na yule umpendaye face to face { domo zege }?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu, Rafiki yangu kanitembelea jana, nilipokuwa namsindikiza akanidokeza kuwa anajua kuwa mkewe hampendi, maana haishi vituko...kila kukicha ni lawama na kumzushia mambo k.v. huko alikotoka...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mimi kijana poa sana natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo alie tayari ani PM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mpo? Kwa kawaida kila kazi ina kipindi cha retreat na kujirefresh. Tangu nipate uhamisho ndio kwanza tumeenda. Tatizo ni kwamba kumbe kila 'me' huku amejipanga na 'ke' wake ambao wote ni...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Hivi hii movie ya Trinita,mwanamke anapomwomba rafiki yake aende kwa boyfriend wake akajipitishe ili jamaa STROM amtokee,nimejiuliza,wanawake huwaza nini? Je,wapo kweli wa hivo eti anataka kujua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kike wakubadlishana nae mawazo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii niliwahi kushuhudia miaka ya nyuma na hata sasa bado Ipo. Unakuta binti akisikia mwenzake anaolewa hasa na mwanaume mwenye pesa au haiba fulani ya juu anaweza kumuanzishia visa na kumsema...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari, Nimeota wangu wa zamani anaoa mwanamke mwingine usiku huo huo nimeota ndoto nyingine kua amefariki na nimesimama kwenye jeneza lake nalia najiuliza kitu gani kimemuua. Naogopa sana.He...
2 Reactions
27 Replies
9K Views
Kuna jamaa mmoja anaomba niwakumbushe wazazi mrudishe tabia za kukaa na mabinti zenu mzungumze wazi kwa kuwa mmewakanya ila wameshindwa kuacha uzinzi na starehe zote basi wafundisheni usafi tu...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Back
Top Bottom