Siku za kukumbukwa ktk safari ya kimaisha

Siku za kukumbukwa ktk safari ya kimaisha

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
463
Reaction score
319
Miaka hiyo nyansincha seventh day adventist sec school tunaimba mapambio ya kumsifu Mungu kwa hisia na moyo wote ktk eden ile iliyosalia
Wakati huo huo namtokea mtoto rose huku nikimwogopa....

Daah nimekumbuka zile siku!!!
 
Back
Top Bottom