DAWA ya Limbwata inauzwa

DAWA ya Limbwata inauzwa

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,185
Kwa akina Dada kama WATAKA mmeo akipata mshara akukabidhi wewe wote na upange matumizi utakavyo bila kukuuliza chochote,

Na kwa wanaume kama wataka mkeo awe anakubeba kila uendako uwapo nyumbani .

YEYOTE anayetaka DAWA hii ya limbwata TUWASILIANE HAPA.

Ni DAWA KUTOKA #KWA_MSISI , HANDENI.
 
Mi nataka kama ile aliyopewa Dr.Slaa na mchumba wake Josephine mshumbusi😁😁😁
 
Mi nataka kama ile aliyopewa Dr.Slaa na mchumba wake Josephine mshumbusi😁😁😁

Hahahaaa ile ni hatari mama,utaua msukuma wa watu bure na kumdhalilisha pia maana mzee kapoteza heshima yake tayari.
Jiamini tu,natural ni nzuri zaidi japo najua unatania.
 
Njoooon huku mnaotaka,mahaba nigande
 
Hahahaaa ile ni hatari mama,utaua msukuma wa watu bure na kumdhalilisha pia maana mzee kapoteza heshima yake tayari.
Jiamini tu,natural ni nzuri zaidi japo najua unatania.

Limbwata aliyonayo mshumbusi ni kibokoooo atugawie na sie basii we nifah huitakiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Limbwata aliyonayo mshumbusi ni kibokoooo atugawie na sie basii we nifah huitakiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Shoga na mie ninayo yangu....
Heheheheee
 
Back
Top Bottom