kuna kitu kinanishangaza, unaeza ukawa mnafahamiana vizuri na mdada. labda umetokea kumpenda kwa sababu nyingine nyingine tofauti na mapenzi ya kuvuana nguo. unaamua kumwambia kuwa unampenda...
Juzi nimetoka safari nikaona si vibaya nikampa wife nae japo hela ya kununua chochote, maana nilipata vijisenti kadhaa katika safari hiyo, ukizingatia kuwa nilikua sijafika kwa mchepuko wangu...
Wadau mi ni mgen hapa morogoro nmetoka kijijini huko npo hovyo kweli na inanibidi niunganishe kwenda Zambia nahtaji kufanyiwa massage mwili mzma kwa mtu anayefaham eneo ambalo naweza pata huduma...
MAUREEN OJUNGA
This world is made up of different people with diverse characters who by the way happen to be looking for one thing or the other. There are those who are out to use you, some want...
Baba yangu kazidi jamani, mimi nikiwa kama mtoto wa mwisho katika familia nina umri 32 baba kaoa kabinti ka miaka 19, mzee kiumri no mzee kwelikweli.
Tatizo linakuja huyu binti hana adabu hata...
Natafuta binti mwenye umri kuanzia 18-25 ambae yupo tayari kuolewa.rangi,kabila,dini,urefu kwangu si kigezo kwa sababu nitampenda jinsi na nitaweza mbadilisha nitakavyo.
Mwenye utayari aniPM
Nimemshauri hadi nimechoka. Namwambia aachane na biashara hiyo hanisikii. Kama jana almanusra nimmwagie maji ya deki kwa hasira alipoanza kunitajia eti sijui mambo ya elimu kwamba napishana naye...
Wapangaji,
Mtakumbuka nilileta uzi hapa kuhusu kumshtaki polisi mke wangu kwa kosa la kunitolea lugha za matusi na kunibugudhi kazini. Naona wengi wana kiu ya mrejesho:
Sasa nilitumia hela...
Ukija mshepu,rangi na sura A,upstair (brains) wametulia,mambo ya kusoma na kuzisaka usiseme,yani kwa maisha haya ya kibongo jinsi yalivyokua magumu sioni sababu ya kutokua na mchaga mpigane tafu...
N dem wa mshikaj wang ila huwa anakuja kuniambia kuwa haridhiki na mziki wa mshkj afu siku kaanza mazoea na mm analeta mileto ya kimapenz sasa nawaza nimfanyeje. Nanmsaidieje? Je nimwambie mshikaj...
Alikuwa ni boyfriend wangu and we broke up last year,but kuna siku nilimtext ili nimsalmie,baada ya salamu akanitext kuwa he will marry me after 3 years. Kilichonishangaza ni kuwa tangu hiyo siku...
Jamani poleni mlionimiss. Niko kwenye kampeni mwenzenu. Si haya mambo ya mabadiliko? Hata muda ninao basi wa kuchangia anga hizi? Nilipoona kuna mtu anataka kujichukulia sifa kwa kumkwamisha...
Kutokana na tamthilia na movies za kimagharibi za kipindi hiki idea ya ushoga inaendelea kutawala. Kama hawa watengenezaji wa Empire season ya kwanza wameonesha ushoga sasa imetoka ya pili idea...
Habari Great thinkers
Katika siku za hivi karibuni nimekuwa nikifikiria sana huku nikiwaza na kuwazua kuwa ipi inaweza kuwa nafasi ya mtu atakae kuwa recognised as a JF Celebrity(super star)...
Rafiki yangu ananilalamikia kuwa dada yake mkubwa anamtafutia mkewe wanaume.Amemkanya lakini anaendelea.Jamaa hajui afanye maamuzi gani maana kiumri dada yake amemzidi sana.Hata kumchapa makofi...
Kila jambo huwa na faida na hasara zake katika uchaguzi wa mwaka huu na heka heka zake watu tumejuana uwezo wa kufikiri, kuchambua na kutenda. na zaid katika kumjua mwenza wako au mchumba...
Habari za Jumapili wanaJamiiForums,
Naombeni mawazo yenu. Mke wangu hana tabia ya kunitambulisha kwa marafiki zake au wafanyakazi wenzake mahali popote tunapokutana nao, hata wakija nyumbani...
Mimi ni kijana ninamiaka 24 ninamchumba anakaa Gongo la Mboto na mimi nipo Kinondoni
Kabla hajapata kazi mchumba angu tulikuwa tunawasiliana karibia kila baada ya saa moja ila tangu apate kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.