Mrejesho: Polisi wamekula hela yangu na wamenigeuka, wanamtetea mke kisa ana mtoto

Oscar Amedeus

Member
Sep 21, 2015
16
1
Wapangaji,
Mtakumbuka nilileta uzi hapa kuhusu kumshtaki polisi mke wangu kwa kosa la kunitolea lugha za matusi na kunibugudhi kazini. Naona wengi wana kiu ya mrejesho:

Sasa nilitumia hela kuharakisha mambo ili nisiwe nachelewa kazini, I mean usafiri pekee ilikuwa ni Tsh 10,000 per day (boda boda n.k.), then mkuu wa kituo, then afande mwingine kimbelembele...wengine wakawa wanagombea nichukue namba zao pia! Actually nilijihisi mfalme...ingawa misimbazi ilikuwa inanipukutika.

Jana nikaenda hiyo saa 7:50am ili asiporipoti hiyo saa 8:00am nichukue Tax na polisi kadhaa. Haikupita muda wakaingia wife na baba mkwe. Kutahamaki afande (mkuu wa kituo) akataharuki "alaa, kumbe mtu mwenyewe ananyonyesha...ana mtoto!, ah haya mambo ya kuongea tu bwana...hebu tuingieni hapa"

Kwakweli kidogo nizimie...nikawaza hizi njemba zimeshakula hela yangu halafu zinatanguliza huruma badala ya kufata vision niliyowapa. Kwa ufupi kukawa na mazungumzo ya kunyoosheana vidole, mwisho wa siku ikaamuliwa kuwa uamuzi wangu mm ni kuachana nae hivyo niandike talaka, kutakuwa na utaratibu wa kumhudumia mtoto. Nikasema talaka napeleka leo, tukatawanyika.

Nilipokuwa natoka nikachomoka na pikipiki, kumbe walikuwa wananisubiri nje (wife na baba mkwe), wakaanza kunifukuzia kwa kibodaboda chao...nikmwambia bodaboda "aisee ongeza mafu"...sasa cjui walikuwa wanataka kusema nn.
 
Walitaka muyamalize kiume. Umrudishe mkeo home alelee kifaranga chenu mpaka kiweze angalao kumeza mate. We vipi? Mioyo ya huruma hukuona popote ukiuzwa kama wako umepotea?? Uwe na huruma kidogo jamani kwa huyo mtoto tu. Mlimpataje huyo mtoto, au ni kwa mrija
 
Mbona leo umekuja kivingine ??? missyrose aione hii

Halafu ulishaambiwa kesi ya ndoa haitatuliwi polisi...au nyie kwenu hakuna wakubwa???

Wapangaji,
Mtakumbuka nilileta uzi hapa kuhusu kumshtaki polisi mke wangu kwa kosa la kunitolea lugha za matusi na kunibugudhi kazini. Naona wengi wana kiu ya mrejesho:

Sasa nilitumia hela kuharakisha mambo ili nisiwe nachelewa kazini, I mean usafiri pekee ilikuwa ni Tsh 10,000 per day (boda boda n.k.), then mkuu wa kituo, then afande mwingine kimbelembele...wengine wakawa wanagombea nichukue namba zao pia! Actually nilijihisi mfalme...ingawa misimbazi ilikuwa inanipukutika.

Jana nikaenda hiyo saa 7:50am ili asiporipoti hiyo saa 8:00am nichukue Tax na polisi kadhaa. Haikupita muda wakaingia wife na baba mkwe. Kutahamaki afande (mkuu wa kituo) akataharuki "alaa, kumbe mtu mwenyewe ananyonyesha...ana mtoto!, ah haya mambo ya kuongea tu bwana...hebu tuingieni hapa"

Kwakweli kidogo nizimie...nikawaza hizi njemba zimeshakula hela yangu halafu zinatanguliza huruma badala ya kufata vision niliyowapa. Kwa ufupi kukawa na mazungumzo ya kunyoosheana vidole, mwisho wa siku ikaamuliwa kuwa uamuzi wangu mm ni kuachana nae hivyo niandike talaka, kutakuwa na utaratibu wa kumhudumia mtoto. Nikasema talaka napeleka leo, tukatawanyika.

Nilipokuwa natoka nikachomoka na pikipiki, kumbe walikuwa wananisubiri nje (wife na baba mkwe), wakaanza kunifukuzia kwa kibodaboda chao...nikmwambia bodaboda "aisee ongeza mafu"...sasa cjui walikuwa wanataka kusema nn.

Wandugu naombeni ushauri.

Baada ya kuhangaika na ndoa yangu, niliamua kufuata ushauri wa member mmoja kwamba niondoke ndani na kumuachia kila kitu, nimefanya hivyo na nimeanza maisha upya mwenyewe.

Leo mke kaja kazini ameleta mtoto, mapokezi nikawaambia niko bize. Nifanyeje?

Niende kumchukua mtoto then nimpeleke wapi, Ustawi wa Jamii au?

Maana tumeachana na yeye kaniletea mtoto ana miezi 8 sasa.

Nimeenda Polisi na kupewa barua ya wito, akizidisha hata nusu saa kutokuripoti kesho saa mbili, namfata mzobe mzobe na Askari kadhaa. Kosa lake ni kuja kunifanyia fujo kazini na kunitolea lugha za matusi. Baba mkwe kanipigia nikamweleza, akasema watawahi hapo kituoni alfajiri! (serious? Dhihaka ama nini?)

Nimewaambia mwanangu namfata jioni hii, wamekataa wanasema nitamchukulia huko huko polisi. Sasa hebu nishaurini kuhusu hili la mtoto, pale Polisi kibao hakitanigeukia kuwa "kumbe unaemshtaki ananyonyesha?! Hivyo kutokuwekwa rumande?

Habari zenu,

Mke wangu aliponiletea mtoto jana, alifanya fujo pia so nikamtuliza na Tsh 45,000. Jioni akanipigia simu kuwa ataendelea kuja kazini ili aniharibie kibarua.

Nishauri cha kufanya.
 
Last edited by a moderator:
Wapangaji,
Mtakumbuka nilileta uzi hapa kuhusu kumshtaki polisi mke wangu kwa kosa la kunitolea lugha za matusi na kunibugudhi kazini. Naona wengi wana kiu ya mrejesho:

Sasa nilitumia hela kuharakisha mambo ili nisiwe nachelewa kazini, I mean usafiri pekee ilikuwa ni Tsh 10,000 per day (boda boda n.k.), then mkuu wa kituo, then afande mwingine kimbelembele...wengine wakawa wanagombea nichukue namba zao pia! Actually nilijihisi mfalme...ingawa misimbazi ilikuwa inanipukutika.

Jana nikaenda hiyo saa 7:50am ili asiporipoti hiyo saa 8:00am nichukue Tax na polisi kadhaa. Haikupita muda wakaingia wife na baba mkwe. Kutahamaki afande (mkuu wa kituo) akataharuki "alaa, kumbe mtu mwenyewe ananyonyesha...ana mtoto!, ah haya mambo ya kuongea tu bwana...hebu tuingieni hapa"

Kwakweli kidogo nizimie...nikawaza hizi njemba zimeshakula hela yangu halafu zinatanguliza huruma badala ya kufata vision niliyowapa. Kwa ufupi kukawa na mazungumzo ya kunyoosheana vidole, mwisho wa siku ikaamuliwa kuwa uamuzi wangu mm ni kuachana nae hivyo niandike talaka, kutakuwa na utaratibu wa kumhudumia mtoto. Nikasema talaka napeleka leo, tukatawanyika.

Nilipokuwa natoka nikachomoka na pikipiki, kumbe walikuwa wananisubiri nje (wife na baba mkwe), wakaanza kunifukuzia kwa kibodaboda chao...nikmwambia bodaboda "aisee ongeza mafu"...sasa cjui walikuwa wanataka kusema nn.

common sense is not really common! una tatizo kubwa ww kwenye nyuzi za kichwa!
 
Spat pc roho ilivokua inakudundadunda walivokua wanakufkuzia na kibodaboda chao
 
Haya matatizo ya kuoa mapema na ukiwa hujapevuka sana ndo yanakutokea
 
We jamaa ni kubwa jinga! Mkeo ananyonyesha na kichanga badala umpe relief we ndio kwanza unampa headache! Huu ni unyanyasaji Falla kweli wewe! Then we hujitambui
 
We ni mjinga, hujielewi ---- sana wewe. mnachafua jukwaa. yaani unahonga vipesa vyako ili usaidiwe kuachana na mkewe? pesa italiwa na mwisho wa siku ni maridhiano kutafutwa. serikali haiwez simamia uachane na mkeo ---- wewe
 
Back
Top Bottom