Wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Baada ya kukaa muda mrefu katika mahusiano ya uchumba hatimaye nimekata shauri kumuoa kabisa binti wa watu. Watu wa Kilimanjaro ndo shemeji...
Natumai mko poa mnaendelea vyema na weekend zenu popote mlipo kwa upande wangu niko poa
Dhumuni la kuandika thread hii nimetokewa n situation ngeni pengine inaweza kuwa kawaida kwa wenzang...kuna...
Naomba ushauri jamani naishi na mama yngu mzazi na wadogo zangu pia wanangu sasa maza kila cku anazira kula mara anashinda haongei na mtu nikimuliza hasemi je nifanyeje
Ndoa na mapenzi ni mambo ambayo mara nyingi huwa hayaingiliwi,yametawaliwa na msemo kuwa'mapenzi ni wawili tu akiongezeka wa tatu ni mchawi',lakini pia huwa inapobidi watu wanaingilia hasa pale...
Nimeenda Polisi na kupewa barua ya wito, akizidisha hata nusu saa kutokuripoti kesho saa mbili, namfata mzobe mzobe na Askari kadhaa. Kosa lake ni kuja kunifanyia fujo kazini na kunitolea lugha za...
mm naishi na mama mzaz na wadogo zangu pia watoto kwa cku kazaa maza amekua na tabia ya kuzira kula na kutokuongea na mtu yoyote nikumuliza hasemi nn tatuzo akienda kwa watu anasimulia habari ya...
Mpo Wanandoa?
Nilihudhuria semina moja ya wanandoa.
Huko tulipewa assignment ya chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika.
Naombeni mnipe maoni yenu.
Nitaanza.
1. High expectations- mke kuwa na...
TANGAZO MAALUM: Chuo kikuu cha kimataifa cha kampala kilichopo Dar es salaam-Gongolamboto kinapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa watu wote walio maliza kidato cha nne, kidato cha sita na...
Mpo?
Night out yao ilikuwa baa, Kinywaji chake bia, huku mke wake akijiburudisha na soda. Mara akaanza kuchanganyia mke na pombe kidogo. Yaani pombe kidogo, soda kidogo. Mwishowe ikawa pombe...
Wapendwa,
Nilijitokeza hapa mwisho wa wiki iliyopita kutafuka marafiki wa kike wa kuchati.
Najua wengi watajiuliza kwa nini nimeweka umri wa juu hivyo, ni kwa kuwa, na mimi nina umri unao range...
Kuna huyu mwanamke ambae ni bosi wangu, ni line Manager wangu, na ambae tuna uhusiano wa kimapenzi wa siri, tuna kama mwezi sasa tangu tuanze ku date, pamoja na kuwa ni line manager na mshahara...
Men discovered COLOURS and invented PAINT, Women discovered PAINT and invented MAKEUP.
Men discovered the WORD and invented CONVERSATION, Women discovered CONVERSATION and invented GOSSIP.
Men...
Habarini wakuu,
Sijafanya full research kwa wadada woote wanaojiuza ila nimegundua wengi wana sifa zifuatazo na mtu akibisha basi abishe kwa hoja:-
1) Kwanza sababu ya kujiuza sio shida ya PESA...
kuna kitu kinanishangaza, unaeza ukawa mnafahamiana vizuri na mdada. labda umetokea kumpenda kwa sababu nyingine nyingine tofauti na mapenzi ya kuvuana nguo. unaamua kumwambia kuwa unampenda...
Juzi nimetoka safari nikaona si vibaya nikampa wife nae japo hela ya kununua chochote, maana nilipata vijisenti kadhaa katika safari hiyo, ukizingatia kuwa nilikua sijafika kwa mchepuko wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.