wadada na neno nakupenda au i love you

wadada na neno nakupenda au i love you

kijana mkimya

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
277
Reaction score
121
kuna kitu kinanishangaza, unaeza ukawa mnafahamiana vizuri na mdada. labda umetokea kumpenda kwa sababu nyingine nyingine tofauti na mapenzi ya kuvuana nguo. unaamua kumwambia kuwa unampenda, kinachoshangaza jinsi anavyojibu au asikujibu kabisa. najiuliza hivi kina dada huwa wanafikiria nini? kwani jinsia ya kiume hawezi kukupenda kwa upendo ambao hauleti mashaka tofauti na mnavyowaza? jirekebisheni tuna sababu nyingi za kuwapenda tofauti na mapenzi mnayofikiria ninyi. nina wasiwasi kama mnaelewa maana ya kupenda.
 
Asante ushauri wako ntaufanyia kazi
 
Vitendo dhidi ya maneno
 
Kwani na wewe kama kweli neon hilo ni la nia njema unaweza kumwambia mwanamke mwingine nakupenda mbele ya gfrnd ama mke wako?
 
Labda hataki mazoea na wewe, hujamvutia. Lakini akiwa amevutiwa na wewe, yeye mwenyewe ndiyo ataanza kukuambia anakupenda. Au ukimwambia unampenda utapewa tabasamu zuri sana lenye maana hata mimi pia.
 
Teh teh....ni vigumu kwa wadada kutofautisha wanaowapenda bila ya kutaka sex na wanao wapenda na kutaka sex...

Kwa hiyo lazima wnawake wajihami kwa lolotee..coz kuna watu wanaweza kusema nakupenda kwa nia ya kawaida now but inthe future wakataka friend game....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom