Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210K
Threads
7.5K
Posts
210K

JF Prefixes:

Nina mdogo wangu amemaliza la saba mwaka 2012 ila kwa bahati mbaya hakufaulu. Nimetafuta shule ya kurudia kwa 2013 nayo nikakosa. Ndipo nilipoamua kumtafutia form ya sha private akafanya interview...
0 Reactions
105 Replies
11K Views
Nilikuja dar kikazi kwa takribani siku 4, sasa jana nikawa narudi mkoani kwangu. Wkt nipo Ubungo nimekaa kwenye dar express akaja mama mmoja mtu mzima mweupe amebeba mtoto, akaketi pembeni yangu...
20 Reactions
217 Replies
14K Views
.....
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Je umewahi kujiuliza mpenzi/wenza wako anakupendea nn/kinachomfanya aendelea kukependa na kuwa na ww mda wote huo.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya kutafakari kwa kina na kwa muda mrefu na hasa baada ya tuhuma nyingi na za mara kwa mara kwamba wanawake tuna roho mbaya ndio maana tunapokuwa mama wa kambo twawatesa au hatuwatreat sawa...
6 Reactions
87 Replies
6K Views
habari zenu wapendwa, leo nimekaa na kufiikiria kwa nini kunakuwa na nyumba ndogo,kuna nini huko kinachotuzidi?? jibu nikapata wao ni wanawake km sie wanajua kucheza na jiografia ya...
4 Reactions
140 Replies
9K Views
Hivi huwa inakuweje …. Mtu na akili zake anakubali kufanya mambo fulani sehemu isiyo rasmi? Kwenye gari / ofisini / pembezoni mwa barabara …. Kibaya zaidi utakuta mtu anampeleka mwenzake adabuni...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Divorce is often a dreaded word for most children. In contrast, I welcomed it when my parent's announced their divorce when I was 15 years old. I was old enough to recognize that their was a...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
dem mwenyew hawajawah kukutana ana kwa ana na mshkaji ila wamekutana fb na wameanz mapenz kimtandao zaid lakin wameaidian meng ya kuoana,asa mi nmepew namb ya dem na mshkaj ili nmtafut coz yupo...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Je unaweza kumpigia magoti hivi mpenzi wako??
1 Reactions
108 Replies
11K Views
Ambaye amesafiri kwa miles kukuona wewe Ambaya anakuomba msamaha japo kuwa akufanya kosa la kuomba samahani Ambaye analia sababu anakupenda/Amekumiss. Ambaye anajaribu sana kukurudisha pindi...
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Ni zaidi ya miaka 15 hatujaonana mimi na huyo mdada, kapita mji ninapoishi kaamua kunitafuta, bahati nzuri kafanikiwa kupata namba kwa ndugu zangu anaohishi mji mmoja naye! Nikakubali kwenda...
10 Reactions
191 Replies
13K Views
Wasalaaaaaaaaaam wazee wa malavidavi mabibi na mabwana! Naomba kufanya utangulizi kwanza kabla sijasadifu title ya uzi huu! Kuna mshikaji wangu mmoja hv kaoa takribani miaka miwili sasa kaoa...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
habari wana mmu leo katika pitapita zangu kwenye internet nimekutana na hii blog ya udaku http://www.udakuspecially.com yaani ni kwamba kilas stori ninayoisoma najikuta nimeshakutana nayo...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Ni kawaida kusikia Wanaume makazini au mahali popote pale pa mikusanyiko yetu kuwasifia baadhi ya wanawake wanaokatiza mbele ya macho yetu,kitendo hiki hutupelekea wakati mwingine hata kuingia...
45 Reactions
236 Replies
16K Views
Huwa nikisoma coment zake moyo wangu unalipuka, paaa! Nikizitafakari huwa nafikiria namna na yeye alivyo kiundani. Huwa nahisi ni mtu mwenye busara na hekima ambayo wengi wamekosa siku hizi...
3 Reactions
115 Replies
10K Views
hivi kwa nini mmekuwa na roho ya namna hii wanawake ? kwa nini hapendani kiasi hiki ?? inatia uchungu sana tena sana . .Leo asubuhi nilikuwa kwenye daladala linalotoka Gongo la mboto-Msasani na...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Utengenezaji wa kucha na uoshaji miguu ni biashara inayokuwa kwa kasi hasa maeneo ya mijini ambapo wanawake wengi wanahusudu na kujihusisha na masuala ya urembo. Biashara hii inazidi kukua huku...
3 Reactions
50 Replies
8K Views
MSHAURI HUYU. Naitwa Janny,ninaishi jijini Dar es Salaam siku za hivi karibuni nimepata Mchumba ambae amepanga kunioa ili tujenge maisha na familia,lakini kuna mdada alinifuata na kuniambia kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habarin, Pamoja na kuwa na wapenzi mbalimbali kwa muda mrefu nimegundua siwezi kutongoza kwani hata hao niliokuwa nao niliwapata kwa sifa za class akili hasa uwezo wangu wa hesabu na physics sasa...
1 Reactions
145 Replies
14K Views
Back
Top Bottom