Sijui nimsaidieje....

Sijui nimsaidieje....

Erickson0708

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
207
Reaction score
34
N dem wa mshikaj wang ila huwa anakuja kuniambia kuwa haridhiki na mziki wa mshkj afu siku kaanza mazoea na mm analeta mileto ya kimapenz sasa nawaza nimfanyeje. Nanmsaidieje? Je nimwambie mshikaj kuwa hamridhishi?
 
Nakushauri weka namba yake ya simu hapa jukwaani watu wengi watamtafuta na kumuweka busy atasahau kuhusu wewe
 
Yaani demu haridhishwi na rafiki yako anakuja kukwambia wewe 😂😂😂
 
Naona ni kama unamgwaya huyo shemeji yako. Nini kinakushinda kumwambia kistaarabu anakoelekea siko..
 
N dem wa mshikaj wang ila huwa anakuja kuniambia kuwa haridhiki na mziki wa mshkj afu siku kaanza mazoea na mm analeta mileto ya kimapenz sasa nawaza nimfanyeje. Nanmsaidieje? Je nimwambie mshikaj kuwa hamridhishi?



Hilo Ni Pepo Na Jini Mahaba La Baharini Likimbie Haraka Sana. Hiyo Ndio Tatzo La Ndoa Za KUTUNGUA, Maana Angekuwa Alifunga Ndoa Angeenda Kwa Mchungaji. Nataka Nikuambie Huyo Ana Pepo La Mahaba, Na Mapepo Kama Hayo Huwa Yanaleta Umaskini Na Ufukara, Kwa Iyo Ukijiingza Hapo, Ujue Ipo Hatari Ya Kuyaharibu Maisha Yako.

Kaa Nae Mbali, Anashindwaje Kumweleza Bf Wake Aje Akuambie Wewe, Kwan Wewe Ndo Uliwafungisha Ndoa??? Acha Acha Acha Achana Nae.

By Pastor Emmanuel, Kwa Ushauri Zaidi Tupigie 0757856336, 0673100772 Au Nipm
 
Uyo demu akili ndogo, kumdhalilisha jamaa ako sio sawa na wewe uko tuu.. be a man
 
uuuuuuuuuupsssss!!!!!!yaaan hiyo mbuzi kafia kwa muuza supu....mpe muziki wewe wa cd 700
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom