Dawa ya mapenzi inahitajika

Dawa ya mapenzi inahitajika

Joined
Sep 27, 2015
Posts
83
Reaction score
15
Hi wanajamiiforum.

Kwa wale wataalam wa dawa ya mapenzi, ninahitaji kwani kuna mwanamke ananisumbua sana na kumuacha sitaki.
 
Dawa ni kucheza na akili yake tu..hayo mauzauza unayotafuta yatakupeleka pabaya...
 
Unajua hizo dawa zinalimit yake na zina expire km zinavo expire driving licence ww koma tuu zidiaha mbwembwe
 
Limbwata? Labda umtafute mshana Jr ndo anaweza kuwa na idea
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya mwanamke ni kumfikisha kileleni hapo yeye ndo atakutafutia dawa usichomoke.
 
Fanya mazoezi kila siku asubuhi, acha usharobaro, usiwe mtu wa kuropoka, be smart sio kila siku unavaa majezi tu mara manchester mara arsenal mara azam yaana vaa ngu za heshima. Ukifanya yote hayo tafta namba yake ya simu uwe unamsalimia tu na kuchat mambo ya kawaida. Usirogwe kumwambia nakupenda. Subiri yeye aingie king baada ya kuonyesha kumjali na kumtreat kama queen elizabeth wa uingereza.
 
Mlete kwangu baada ya siku mbili utakuja kumchukua maana dawa inatakiwa ipitiwe kwenye kikojoleo mpaka karibu na kizazi sema tawile
 
Dawa pekee ndio hii......hakuna dawa zaidi ya hii popote pale.......

Preta...Dr Love...
 

Attachments

  • 1443862843791.jpg
    1443862843791.jpg
    12.1 KB · Views: 133
Fanya mazoezi kila siku asubuhi, acha usharobaro, usiwe mtu wa kuropoka, be smart sio kila siku unavaa majezi tu mara manchester mara arsenal mara azam yaana vaa ngu za heshima. Ukifanya yote hayo tafta namba yake ya simu uwe unamsalimia tu na kuchat mambo ya kawaida. Usirogwe kumwambia nakupenda. Subiri yeye aingie king baada ya kuonyesha kumjali na kumtreat kama queen elizabeth wa uingereza.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom