Mabadilikoooooooo......

Mabadilikoooooooo......

Da Sophy

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
388
Reaction score
162
Jamani poleni mlionimiss. Niko kwenye kampeni mwenzenu. Si haya mambo ya mabadiliko? Hata muda ninao basi wa kuchangia anga hizi? Nilipoona kuna mtu anataka kujichukulia sifa kwa kumkwamisha laaziz nikamwambia kama ni mpambano apambane na mimi ijulikane nani zaidi. Ni mwendo wa mabadilikooooooo tuko sambaba na baba watoto. Sasa tuone digirii na akili ya kuzaliwa ipi zaidi. Tutaheshimiana tu mwaka huu.
 
Hahaha Da Sophy jamani, wewe Kila siku na wanawake wenye degree tu. Anyway hongera kwa mabadiliko
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom