Habarini wana MMU,Natumai wote ni wazima kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu na wale ambao si wazima Mungu awaponye.
Wapendwa leo ningependa tujadili juu ya usiri wa mali katika ndoa,Katika jamii ambayo...
Mchumba wangu alinisaliti miaka 2 sasa ila alinitaka tuendelee kua marafiki wa kawaida nakunieleza kua kashampata mwingine na kunionesha picha zake, cha kushangaza zaidi ameskia naenda chuo kikuu...
Hawataki kukosolewa....
Kuna ukweli kwamba, mwanaume ana namna tofauti ya kuyatazama na kuyakabili mambo, hasa anapokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi. Kwa mfano, mwanamke anapokuwa maarufu, ni...
Mimi ni kijana wa miaka 23 niko chuo degree mwaka wa 3 Dar es Salaam. Niko single na ninatafuta mpenzi wa kuwa nae kwenye mahusiano.Aliyetayari ani PM kwa mawasiliano zaidi
Namtafuta rafiki angu kwa jina anaitwa JIMMYSON HENRY MOSES!
Kwa muonekano ni maji ya kunde,mrefu wastani na ana asili ya ungazija kutoka visiwa vya comorro!
Tulipotezana mwaka 2011,ye alikuwa...
Habarini wadau,
Poleni na majukumu asee ndio maisha mkono uende kinywani tu.Jamani mapenzi matamusana asee ukitaka uinjoi mapenzi basi we jitoe ufahamu tu. ishi kama hakuna logic duniani na...
Jamani nimeokokoa mwenzenu,juzi nimejitafakari nikaona kuwa nahitaji maombi kwani kwenye sekta ya mapenzi sina bahati,nikaenda kwa mtumishi mmoja nikamuelezea akasema inabidi kufanyiwa...
Outrage as Maryland bride presents Christian pastor father with 'certificate of purity' signed by a gynecologist on her wedding day to prove she's a virgin
Brelyn Bowman presented pastor father...
Ladies and Gentlemen,
This is to all men out there :A S kiss:………………………. Enjoy your week end na malavi davi. Don't let uchaguzi uchukue...
Siku yangu imeisha vibaya sana leo.
Niko kijiwe changu cha kuuza mbao, biashara hamna kabisa. Napigiwa simu na mama tunafahamiana kwa karibu anatuma watoto wake kuja kununua mbao. Nikaanza...
Ni kwaajili ya kubadilishana mawazo katika story mbali mbali za kimaisha,mapenzi na mengine mengi umli kuanzia 18 na kuendelea nicheki Facebook king suley Whatsapp no 0782498431.
UMEICHOKA NDOA YAKO?
Asubuhi nilituma post hapa kuhusu ndoa, natamani tubadilishe mitazamo tuliyonayo wengi kuhusu ndoa. Watu wanalalamika kuwa ndoa ni ngumu, siwezi kupingana na hili, kwa sababu...
Signs of a Black Magic, curse and warlock attack:
-People are avoiding you.
-Constant fights for no reason.
-Good intentions go unnoticed or are misunderstood.
-Relationship problems...
Imepita miaka miwili tangu nilipoachana na mpenzi wangu, kiukweli huyu mdada nilimpenda kwa moyo wangu wa dhati, sikuwahi kumsaliti nilimwona kila kitu kwangu, kulingana na hali niliyokuwa nayo...
Kipindi nipatapo break (nikila kibuti au kutokuwa na maelewano) nafanya vitu vingi ambayo nilivupuuzia na kuviwaza bila kuviweka maanani napipa kazi,na nasimamia mambo lukuki bila...
Wakuu,
Niwashukuru sana wadau mlionipa ushauri juu ya swala langu lile kuhusu mrembo tuliokorofishana tukiwa kwenye field work na baadae akaja kuwa kiongozi wangu kikazi.Wadau wengi mlinishauri...
Hello strangers
Nilikua mahabusu kwa zaidi ya mwezi kutokana na masahibu yaliyonikuta,nimepoteza mpenzi,pesa na mambo kibao but bado na hustle.
Umri wangu ni...
Ni takriban mwaka umepita sasa tangu majambazi walipotuvamia ndani na kumbaka mke wangu, nimeshindwa kabisa kusahau tukio hilo
Nakumbuka, ilikua October last year, tarehe nimesahau, tukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.