Nabweteka sana nikiwa katika mapenzi

Nabweteka sana nikiwa katika mapenzi

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,560
Reaction score
20,098
Kipindi nipatapo break (nikila kibuti au kutokuwa na maelewano) nafanya vitu vingi ambayo nilivupuuzia na kuviwaza bila kuviweka maanani napipa kazi,na nasimamia mambo lukuki bila kusua sua, kwenye mahusiano muda mwingne najiuliza HIVI HII HATA NAHITAJI KUAJIRIWA KWELI?

Sijui tatizo ni nini?

Wadada wengine inawatokea hii?

*Kutoka PM* anaomba ushauri
 
mmh hyo anayeomba ushauri pm kwanini asipost yeye?? kama ni pm kwann unapost wewe!?
..,..............
shida hapo ni kutokujiamini ndio maana unapokuwa kwenye relationship mengi unategemea mwingine akuamulie, ukiwa single unakuwa hauna options wala hauna wa kukuamulia ndio maana unayafanya hayo mengine... na kama ukimpata anayeshindwa kukushauri vyema inakula kwako...

suluhisho.
jiamini, jifunze kusimama wewe kama wewe na Fanya maamuzi wewe bila kumtegemea mpnz
 
Especially kama uhusiano ulikuwa stuborn na unahis nafuu baada ya kuudrop.

Inafahamika kwamba kuwa ktk mapenzi katika hali zote iwe ya heri au ya shari inaconsume muda na akili ya kufanya mambo ya ziada na hata ya msingi kutegemea na uwezo wa kuhandle stuatiation yenyewe.

Mbaya zaidi uwe ktk false stuation, inaeleweka, itakuwa si kubweteka ila utakuwa confused, hutaweza kufanya mambo ya maana.
Km ulikuwa ktk false stuation relation, ukitoka, si tu utaweza kufanya kaz nyngi kwa wepes bali utagundua pia kuwa baadhi ya mishipa yako ya dam ilikuwa haifany kaz, ilizima, ni wakati huo huwa unapotoka ktk uhusiano negative, mishipa yako itafunguka na utaweza kufanya mambo mengi kwa wepesii,
Labda km sikuelewa swali lake.
 
Inatokeaga bana, mi huwa nalewa mapenzi yani kukiwa na maelewano ni kukumbatiana tu muda waote naamka saa sita Chai tutakunywa saa saba ila tukizinguana saa mbili shughuli zote kwisha na kufua nshafua..... "mapenzi ni uteja"
 
haswaaa umelielewa lakini kumbuka watu wanaingia kwenye ndoaw na wanafanikiwa vip hapo inakuaje
 
saa mbili asubuh ushalima majaruba kadha ya mpunga na ushalisha ngombe,kuku unaelekea bustani kumwagilia

😂😂😂😂😂 mapenzini saa mbili ndo unalala MAANA USIKU KUCHA UMEKESHA
 
Asee, mimi nlikua sifanyi vizuri kimasomo nikiwa single, nikiwa na bebe ckosi top 3
 
Huyo anaekuomba ushauri pm mwambie aaeche utoto. Challenges makes perfect kwahiyo asiogope matusi, vijembe na kukosolewa maana najua hicho ndo anakimbia.
 
haswaaa umelielewa lakini kumbuka watu wanaingia kwenye ndoaw na wanafanikiwa vip hapo inakuaje

Hiyo ni ndoa, hatua flani ya kikomavu ambayo mnaaanza kufikiri jinsi mtavyowaandalia wanenu, mtavyojenga uwezo wa kusaidia ndugu na kuwa majembe ktk jamii inayowazunguka.

Mkiwa ktk mapenzi mnashikana mikono yote mmiwili, mnafunga fursa ya kuangalia nje wala hamruhusu changamoto km hizo ziwafikirishe, labda kidogo sana, halafu kwa vile mmeshikana mikono yote mi2 mnaangaliana ninyi tu hence kubweteka kwingi.

Lkn mkioana mnashikana mkono mmoja na kuangalia mbele na kujenga fikra za kujiandaa kukabiliana na changamoto zinazo na zinazoweza kuja, hence kuwa active.
Kubweteka kwenye ndoa ni pale ambapo mmechagua kurelax badala ya kujishughulisha, km ndicho kinachowapa amani, yaani mnjiona mnafaidi wenyewe, ni sawa, lkn mnaeza jikuta mnaangukia ktk story ya ngoswe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom