Cereal Killer
Senior Member
- Aug 17, 2015
- 130
- 55
Hello strangers
Nilikua mahabusu kwa zaidi ya mwezi kutokana na masahibu yaliyonikuta,nimepoteza mpenzi,pesa na mambo kibao but bado na hustle.
Umri wangu ni 23,goodlooking,goodlooking,mcheshi na ni muelewa wa mambo mengi,mwenye upendo na ni mkarimu.elimu yangu ni certificate in clinical officer sikubahatika kumaliza mpaka diploma lakini natarajia mwaka huu ntaanza my diploma
Nahitaji msichana mkarimu,mwenye huruma na mzuri bila kujali umri,i need some company,love and someone to talk to.awe anaishi dar es salaam kama atakua kinondoni itakua bora zaidi ili tuwe karibu..
Japo mapenzi hayatafutwi lakini sio mbaya nikijaribu and trust me hutojutia