Hi everyone
I am 23 years old male and I really need a girl to be in a love relationship with. I spend most of my time studying and developing software systems. I am a 3rd year university...
A.alayqum wana Jf, ni matumaini yangu mu wazima ikiwa ndo kwanza jumatatu imeanza kutaftua riziki.
Labda niende straight to the point ni msaada gani ninao/tunao hitaji.
Nina ndugu yangu wa kike...
Habari Wakuu,
Naomba msome hivi vipengele viwili vinavyogusa karibu kila mtu. Ujumbe una vipengele viwili:-
KIPENGELE [ A ] - MAMBO YANAYOMFANYA MTU AYACHUKIE MAPENZI
SIJUI wewe ulikuwa...
Jamani Nikiwa Kama Mchungaji, nimeliona hilo jambo likiendelea katika maisha yetu.
Kuna mabinti wanatamba cku izi wao hawafanyi kazi yoyote ile, lkn wana maboyfriend zaidi ya wa3 au wa4 na wote...
Hi!
Ukipata mchumba hasa mmachame wanafamilia wanakuwa wagumu kubariki mahusiano yenu.Hii imetokana na baadhi ya jamii kutendwa baada ya kuoa wachaga.Lakini naamini kuna baadhi ya dada zangu wa...
Mimi ni kijana wa kiume ninaishi Arusha.Kiukweli nimekuwa naboreka sana na kitendo cha kutoridhika na kutosheka kimapenzi.Kwa kawaida ninapokuwa faragha na mpenzi wangu huwa namchapa magoli sita...
Ndugu zngu wana-JF poleni na majukumu na mihangaiko ya kila uchao!
KISA:
Naombeni ushauri wenu kwani kuna binti nilkutana naye kwenye usafiri tukakubaliana na kuingia kwenye uhusiano baada ya...
Wadau,
Mim ni mwanaume mwaminifu sana ndani ya ndoa yangu.Sijawahi cheat tangu nianze kuisi na huyu mwanamke mwaka jana mwez wa6.Kwa sasa mkewangu ni mjamzito na nimemsafirisha akajifungulie...
by Debbie Harrower
Look, we know that there are plenty of he-devils roaming around, breaking womens hearts with their lies and cheating. Then theres the other bunch, who might not lie and...
Aminael, Mimi Nilikuwa Ni Mwanaume Pekee Mwenye Mahaba! Ya Dhati Kwako!
Nilijitahidi Sana Kuonyesha Mapenzi Yangu Ya Dhati Kwako Pengine Ungetambua Upendo Wangu Kwako
Mapenzi Yamezima Kama...
Ni vyema mkulima anapopanda mbegu kutegemea mavuno.Japo Mbegu zingine huotea juu ya mwamba,nyingine zinasongwa na miiba,nyingine kuliwa na ndege na nyingine huota kwenye udongo mzuri.
Mke wangu...
Mambo vipi wakuu,
Kama heading inaavyojieleza je nikifanya hivo nitakua nakosea?
Na je anaweza kunirudishia kweli au ndo changa la macho afu aingie mitini?
Habari JF?
Katika pitapita za huku na kule kupambana na maisha yetu haya, nilijikuta nimekutana na familia moja ambayo daah!! Walinivutia sana lakini walinifanya nijifunze kitu ambacho nanyi...
Juzi kati tukiwa kwenye kijiwe cha kahawa jamaa mmoja alifika akaanzisha mada kuwa watu wengi hupiga punyeto huku akijisema kuwa yeye pia hupiga.
Tukawa wote na mshangao, akaendelea kusema ambaye...
Mm ni me.ni miaka 2 imepita tangu niachwe na aliyekuwa mke wangu .sasa nahitaji mke .elimu yangu ni FTC in electrical.mwajiriwa .miaka 42.naishi Dar dini mkristu.ninayemtaka.dini yeyote umri max...
Ni kweli inawezekana mkakutana hapa Jf mkaanza mahusiano na mkiwa na malengo Mungu huwa pamoja nanyi na hatimae kuwa mke na mume. Hivyo wale ambao wapo kwa ajili ya ku buy time poa endeleeni tu...
Ni mwaka wa pili sasa nipo single toka nilipoachana nampenzi wangu akakimbilia kuolewa.
Sasa nimekuwa nikitafuta msichana mwenye mapenzi na upendo wa dhati tokea moyoni yaani hawapatikani zaidi...
Kuna binti tulikua tukiishi mtaa mmoja katikati mwa miaka ya tisini, alikua ni mzuri ajabu, kwa lugha ya kawaida hakuna Maneno yanayojitosheleza kuelezea uzuri wake
Wakati huo mm nilikua form four...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.