Mahaba niue

Mahaba niue

Ph-25

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,159
Reaction score
540
Habarini wadau,

Poleni na majukumu asee ndio maisha mkono uende kinywani tu.Jamani mapenzi matamusana asee ukitaka uinjoi mapenzi basi we jitoe ufahamu tu. ishi kama hakuna logic duniani na usijiulize-ulize maswali kutaka kuchambua situations na kujaribu kutumia akili kwenye mapenzi.Ukitaka kutumia akili nenda kawe mwanasayansi utusaidie kuvumbua dawa za surua na pepopunda.Ukiwa Penzini au ukiwa unataka kuingia penzini kaziache akili zako laboratory zisaidie kukuza minyoo.

Kila mtu anataka mpenzi wa peke yake lakini kila mpenzi unayegusa unakuta jamaa walipitaga zamani na hawana idadi na ukijifanya kutumia akili kumuuliza "umewahi kulala na wanaume wangapi before me",jibu lao huwa ni rahisi kweli." Wawili tu yaani we ndo wa 3",wakati kumbe wewe ni kijamaa cha 54.Ana Maex 53 tu Ana maex 53 atakuwaje mpenzi wa peke yako? Ina maana wewe ndo unasugua na steel wire au?

Kashaguswa na kila type,pingili za mihogo,ndizi kisukari,tango,tambi ya jiko,kinukta,mnara wa simu,dudukila,na kila type na lazima mmoja kati ya hawa maex alimfeel sana japo it didnt work out wakaachana ingawa deep down wana feelings za kimyakimya. Kuambiwa wewe unapendwa haimaanishi hamna ex ambaye kila akimuona analowana!

Na Maex wengine hawana huruma,hata wasipoonana miaka 2,siku wakikutana analowa jamaa anapitisha dekio,na atarudi home atakutext,"i love you babe mi ndo nalala,nakupenda sana" ukiamua kupenda we penda tu,ila ukitaka kujua yanayojiri ndani ya penzi lako utawekewa dripu bure.

Shkamoo wewe hapo ambaye ex wako wa 36 kila mkikutana lazima mpashe kiporo japo unampenda mmeo.Shkamoo sana.Mapenzi matamu sana!
 
Ukweli wako unaegemea upande mmoja mkuu.

Inaonekana wanaume ndio wanadanganywa sana kuliko wanawake.

Anyway, shikamoo mpenzi wangu uliyeniambia mimi ni wa pili wakati najua mi ni ya 20. Shikamoo sana endelea ivo ivo
 
wew unataka uambiwe ukwel ugundue nin loh hatusemag kwan nyie mnasemaga ukwel
 
Barabara hainaga idadi ya magari nk zinazopta ukitaka kuhesabu anza na weweee achana na yaliyopita.
 
hii sms nilishafowardiwa kitamboo sana ............
 
Ukweli wako unaegemea upande mmoja mkuu.

Inaonekana wanaume ndio wanadanganywa sana kuliko wanawake.

Anyway, shikamoo mpenzi wangu uliyeniambia mimi ni wa pili wakati najua mi ni ya 20. Shikamoo sana endelea ivo ivo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!
 
Wangu bado sealed..Tunasubiri ndoa ndo tuanze kupeana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom