scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 460
- 360
Mchumba wangu alinisaliti miaka 2 sasa ila alinitaka tuendelee kua marafiki wa kawaida nakunieleza kua kashampata mwingine na kunionesha picha zake, cha kushangaza zaidi ameskia naenda chuo kikuu sasa anavizia bumu langu kwa kujikomba komba kwangu kinafiki. Lakini sema kweli mimi bado nampenda na nilidumu nae miaka 3.
Msaada jamani.
Nawasilisha.
Msaada jamani.
Nawasilisha.