cindy mopao
Member
- Sep 5, 2015
- 54
- 24
Namtafuta rafiki angu kwa jina anaitwa JIMMYSON HENRY MOSES!
Kwa muonekano ni maji ya kunde,mrefu wastani na ana asili ya ungazija kutoka visiwa vya comorro!
Tulipotezana mwaka 2011,ye alikuwa anasomea BACHEROL YA IT (UDSM)! Now nadhani atakuwa kashamaliza hapo..
Kwa yeypte anayemfahamu amjulishe or jimmy if u are in jf pls pm me!!