Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Signs of a Black Magic, curse and warlock attack: -People are avoiding you. -Constant fights for no reason. -Good intentions go unnoticed or are misunderstood. -Relationship problems...
5 Reactions
48 Replies
8K Views
Imepita miaka miwili tangu nilipoachana na mpenzi wangu, kiukweli huyu mdada nilimpenda kwa moyo wangu wa dhati, sikuwahi kumsaliti nilimwona kila kitu kwangu, kulingana na hali niliyokuwa nayo...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Kipindi nipatapo break (nikila kibuti au kutokuwa na maelewano) nafanya vitu vingi ambayo nilivupuuzia na kuviwaza bila kuviweka maanani napipa kazi,na nasimamia mambo lukuki bila...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, Niwashukuru sana wadau mlionipa ushauri juu ya swala langu lile kuhusu mrembo tuliokorofishana tukiwa kwenye field work na baadae akaja kuwa kiongozi wangu kikazi.Wadau wengi mlinishauri...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Hello strangers Nilikua mahabusu kwa zaidi ya mwezi kutokana na masahibu yaliyonikuta,nimepoteza mpenzi,pesa na mambo kibao but bado na hustle. Umri wangu ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni takriban mwaka umepita sasa tangu majambazi walipotuvamia ndani na kumbaka mke wangu, nimeshindwa kabisa kusahau tukio hilo Nakumbuka, ilikua October last year, tarehe nimesahau, tukiwa...
0 Reactions
95 Replies
17K Views
Mambo vipi Jf, Hope mko poa, kama kawaida kila mmoja ana kikatio, si unajua tarehe 25.10.2015 kuna watu wanastaafishwa kazi na vikatio. Amani yetu Tuilinde. Mungu ibariki Tanzania. Back to the...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Inaelezwa kuwa moja ya sababu inayopelekea nchi za wenzetu kuwa juu kimpira ni kutokana na wao kuwa na academy zinazowafundisha watoto mpira tangu wakiwa na umri mdogo. Turudi kwenye mada...
1 Reactions
43 Replies
14K Views
Nataka kufahamu kama sex inatosha kuwa zoezi kwa ajili ya kuimarisha afya, au mtu anahitaji kwenda tena uwanjani for extra jogging.Wengine hii kitu wanado daily.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu Wazima Leo nimemuona huruma dada mmoja hivi kwenye fb huwa picha zake zote anajibenua makalio hakuna hata moja anayojiweka fresh kabisa sasa kuna jamaa alikuwa anamuliza unatumia dawa au...
0 Reactions
71 Replies
10K Views
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 20 naomba mnisaidie nahitaji kujiusisha na mahusiano ya kimapenzi lakini sijui nianzie wapi maana kipindi nasoma nilikuwa niko na mahusiono lakini yalikuwa ya...
2 Reactions
64 Replies
6K Views
Wasalaam wanajf,nmekutana na bint trh 14,cku hyo ndo akanipa jibu la ndiyo,bt nlkuwa nmemtongoza kipnd kirefu bila mafanikio,lkn kwny maelezo yake akasema aliongea na mtu akamuulzia unamfaham mtu...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
BY DAYAN MASINDE 1. “Big boobs and a big butt are what make a woman sexy” Many women wish they had a bigger butt or boobs to add to their sex appeal, they fill up their bras and underwear with...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wiki moja tu ya mahusiano yetu mapya anataka ni mpe 20,000 hama kweli mapenzi ya mjini shida..
1 Reactions
91 Replies
11K Views
  • Closed
I need serious female escort to trip with to Iringa from Dsm and round trip as well, awe aged 20-27 and in case una bwana wako please ask permission usije ukaachwa bure!! kwa tamaa ya 1 week...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Mm ni mtanzania nisiye na makuu naitaji mwenza kma maandiko yavyosema mwanamke atamuacha mamaye na babaye na kuambatana na mumewe wawe kitu kimoja cbagui dini wala kabira umri kuanzia miaka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kila nikimpata msichana kibamia changu hicho kinaelea na kuniaibisha, wana JF siyo utani, imefikia hatua naona hakuna sababu ya kuoa maana ni aibu bin aibu, nikifanyeje hiki kibamia? Halafu kwa...
5 Reactions
93 Replies
18K Views
Hi everyone I am 23 years old male and I really need a girl to be in a love relationship with. I spend most of my time studying and developing software systems. I am a 3rd year university...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
A.alayqum wana Jf, ni matumaini yangu mu wazima ikiwa ndo kwanza jumatatu imeanza kutaftua riziki. Labda niende straight to the point ni msaada gani ninao/tunao hitaji. Nina ndugu yangu wa kike...
2 Reactions
101 Replies
8K Views
Habari Wakuu, Naomba msome hivi vipengele viwili vinavyogusa karibu kila mtu. Ujumbe una vipengele viwili:- KIPENGELE [ A ] - MAMBO YANAYOMFANYA MTU AYACHUKIE MAPENZI SIJUI wewe ulikuwa...
1 Reactions
3 Replies
19K Views
Back
Top Bottom