Wenye ujuzi mnisaidie kuelewa hii kitu jamani. Ni nini historia yake? Ilikuaje yaani? Mbona imekuwa shida hivi?
Na joto lote hili watu wananyonyana tu. Kuna maumbile tofauti tofauti yenye tabia...
Wakuu
Ukiwa na mchepuko wako unazingatia nini hasa? Je unazingatia matumizi ya kondomu,unazingatia kumkaza/kumkatia mauno ili siku nyingine akuhitaji tena?
Kwangu mimi nazingatia sana matumizi...
Baada ya kuwa mbali kimajukumu... Nilipata simu pendwa ya Mama Alpha.
Mama Apha; Mume wangu siku ya Jumamosi nitaenda Dar kumfanyia Shoping ya hapa ndani.
Mimi(mume); Aah sawa usijali na je...
Oya wanangu, sikilizeni hii gospel straight kutoka street za roho zilizochoka. Bro, usioe pisi kali bana! Yaani narudia loud and clear – DON’T WIFE A BADDIE! Hao ni wa ku-pass around tu kama blunt...
Habari gani Wakuu
Ngoja niende kwenye maada yangu. Kuna mdada mmoja hivi wa Graduate wa CBE -Dodoma nilikutana naye rainbow Dodoma so nikawa nimechukua contacts tukawa tunawasiliana. Baada ya kuwa...
Japo ndoa inanipelekesha, ila kwa upande wa afya na STDs ni kitu chema sana. Kabla sijaoa, kuumwa UTI kali ambayo hadi korodani zinawaka moto ilikuwa kawaida sana. Yaani kuna muda hadi kukaa muda...
Unajua kuwa mwanaume asipokutana na mwanamke muda mrefu inaweza kumpelekea maumbile yake kupungua..?
Dkt. Mtwale
Turejee theory mbali mbali
_Hii hoja ya Dkt, mtwale inakuwa supported na theory...
Bandugu, tunajua mambo ya mapenzi yanaweza kuwa changamoto, hasa pale mwanaume anaposhindwa kuwa na “erection.” Hapo ndipo napokuja na “No perform, no erection!”
Si tu mwanaume anapaswa kuwa...
Wakuu niina swali kidogo hv unapotongoza mdada ukakuta ni Gold Diger inatakiwa uichape mara ngapi ndio uiache???
Aisee nimekutana na kitoto cha 2003 nikataka nimfanye wife material but...
Leo nagusa sehemu ambayo vijana wengi huwa wanapambana nayo kwa siri kabisa 😅. Kutongoza msichana ni jambo linaloweza kuwa gumu sana, lakini si kwa sababu ya ugumu wa maneno — mara nyingi ni...
Ila jamani hasa ukiwa hauna hela kutongoza mdada mpya na kuanzisha mahusiano mapya ni ngumu sana msione watu wanarudia ma ex zao huku nje kupata mtu mpya muaze maisha mapya mpaka mje mzoeane...
Ila naelewa kuelekea uchaguzi na hii nchi yetu, maisha ni mbio mbio tu,
Humu JF hili jukwaa Pamepoa sana, Watu hawaleti hoja zao na maoni mbalimbali, Zero IQ popote ulipo aisee ukipata nafasi...
Wakuu salamu kwenu.
Naandika uzi huu kifua kikiwaka moto kwa hasira.
Iko hivi nina mke mwajiriwa, tumefunga ndoa na tuna watoto.
Ni muda sasa tunaishi mbalimbali kiasi kutokana na inshu za...
Katika karne hii ya 21 kumekuwa na manung'uniko mengi sana kuhusu changamoto zinazoikumba ndoa na malalamiko ya watu ni juu ya nini kimetokea kwenye ndoa. Mbona zama hizi ndoa zinaanguka na kuna...
Mnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha.
Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.